'Guiness Records' na Kikwete ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Guiness Records' na Kikwete !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Sep 13, 2010.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  mi kila asubuhi pale akilli yangu inapotulia,kwamba kwanini huyu muh. rais kikwete asiwekwe kwenye kile kitabu cha rekodi mbalimbali za duniani wakati yeye pekee ndio kaziweka???jamani naombeni jibu ni kwa nini haingizwi kule kwani tunajua haya yafuatayo hamna rais yeyote aliweka hizi rekodi....naanza:

  1. KIKWETE NDIO RAIS WA KWANZA DUNIANI KUDANGANYWA VIBAYA MNO NA WASIMAMIZI WAKE WAKUBWA SERIKALINI
  mf: a/ ufunguzi wa daraja la msumbiji wakati halijakamilika,yeye kadanganywa limeisha na kufungua kumbe ni changa la macho,kafungua tena mara ya pili ile juzijuzi
  b/ ufunguzi wa ile bus stand(sina uhakika ni shinyanga au singida) iliyozungushiwa magunia na yeye kikwete akakata utepe wa kuifungua kumbe ilikuwa hata robo haijaisha kukamilika
  c/ makabidhiano ya magari ya wagonjwa kwa wakurugenzi wa wilaya falni pale ikulu
  d/ufunguzi wa ile hotel flani na kesho ya kubomolewa
  e/ile check iliyoandikwa milion 3 tarakimu wakati maneno yameandikwa milioni 2..huu ni ufinyu sana
  f/ zile kadi 360 za chadema alizokabidhiwa kwenye kampeni zake akadanganywa kwamba chadema wamehamia ccm
  g/ kadanganywa kwamba BASHE sio raia na kumvua madaraka yote aliyonayo ndani ya chama wakati ni raia halali wa tz
  h/ alidanganywa umri na masauni yule m/kiti wa UVCCM na baadae kuvuliwa madaraka
  i/ alidanganywa na shekhe yahaya mtabiri kwamba yeyote atayeshindana na kikwete kwenye kugombea uraisi atakufa....heeeee kullikoni mtabiri na ullnzi hewa usioonekana tena?
  j/ kadanganywa na madaktari wake kwamba haumwi wakati kila kukicha anadondoka dondoka tu...heeee ye mwenyewe hajishangai??
  hembu ongezeeni nyingine wazee  2. KIKWETE NDIO RAIS WA KWANZA DUNIANI KUWA NA REKODI YA KUANGUKA ANGUKA MBELE YA KADAMNASI  3. KIKWETE NDIO RAISI WA KWANZA DUNIANI KUFANYA SAFARI NYINGI ZA NJE YA NCHI NDANI YA MWAKA MMOJA TANGU AINGIE MADARAKANI


  4. KIKWETE NDIO RAISI WA KWANZA DUNIANI KUTAMKA HADHARANI KWAMBA HAJUI UMASKINI WA WATU WAKE (WATZ) UNATOKANA NA NINI


  5. KIKWETE NDIO RAISI WA KWANZA DUNIANI AKIWA KAMA MWENYEKITI WA CHAMA TAWALA KUPIGWA BITI NA KATIBU WAKE BILA VIKAO VYOYOTE ASIHUDHURIE MIDAHALO YOYOTE ITAKAYOFANYIKA KUSAKA MGOMBEA BORA KWA WANANCHI

  6. RAISI WA KWANZA DUNIANI KUCHAKACHULIWA MAFUTA KWENYE GARI YAKE IKAZIMA BARABARANI:eyebrows:

  JAMANI REKODZ NI NYINGI MWENYE NAZO AZIWEKE ILI TUFANYE UTARATIBU WA KUMUINGIZA KWEYE KALE KAJITABU CHA GUINESS............NAWAKILISHA!!!!:eyebrows::fencing::A S thumbs_down:
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Tayari tumeshaziweka
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwa jinsi serikali inavyoendeshwa huenda ndio lengo lake la kuingia katika hicho kitabu cha rekodi cha Guinness:becky::becky:!
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wastage of time and resources. kama ni muajiriwa wa serikali na unadai 315000 wakati hamna lolote unalofanya zaidi ya kuandika ujinga huu, ni aibu.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Ni rais wa kwanza Tanzania kuwa madarakani kwa muda mfupi/ kipindi kimoja tu!
   
 6. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Ina ukweli, ila inauma!
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Anaenda kubadilisha damu...
   
 8. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #8
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very Good! Record nyingine ni kwamba,ndiye Rais aliyekosa imani na viongozi wa Chama chake kiasi cha KUMTUMA MWANAE RIDHI akiambatana na viongozi wa UVCCM na baadhi ya viongozi wa serikali za wanafunzi katika vyuo vikuu vya Tanzania kumtafutia wadhamini wa Urais!
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  NDIO RAIS WA KWANZA KUTUHUMIWA KWENDA KWENYE MATIBABU NG'AMBO yakubadilisha damu akidai kwenda kwenye ziara za kuomba omba.
   
 10. k

  kibebii Member

  #10
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ndio raisi wa wakanza Kanisa kuonesha waziwazi kutomuunga mkono
  duh Lol!
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  namsapoti kwa aliyoandika. Kwani si kweli hayo yote yanamhusu kikwete?
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Ndie rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha bora!
   
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ndie rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Tanzania anaelindwa na nguvu za Giza.
   
 14. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Jee kuhusu mgombea wa kwanza wa urais kuanguka bafuni, sijui alikuwa akifanya ile ya watu waleeeeeeeeeeeeeee

  heee heeeeeeeeeeeee
   
 15. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ndiye raisi wa kwanza aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni kiherehere chao....
   
 16. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Rais wa kwanza anayeshiriki sana kwenye mazishi kuliko shughuli zingine za umma.
   
 17. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Rais wa kwanza anayeogopa mafisadi.
   
 18. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #18
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kumbe unaongea Mgombea tena asie Rais tayari, kali zaidi mkapa na mkewe woote walianguka bafuni.
   
 19. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  waziwazi bila hata aibu
   
Loading...