Kiti cha kikwete na miujiza

Kiti cha kikwete na miujiza

Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini watu wa protokali pale IKULU wazunguka na Kiti cha raisi wetu mpendwa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Je kinamiujiza gani ya kiulinzi,jee anamatatizo gani ambapo hawezi kukalia viti vingine,je ni kuendeleza utukufu kwamba kwa vile yeye ni Raisi lazima akalie kiti tofauti na wengine,au ni ushauri wa Mlinzi wake mkuu sheikh Yahaya ,au ni woga tu jamani watu wa protokali IKULU mulioko humu hebu tafadhali nijuzeni.

Halafu nyie watu wa Protokali kwa nini munawadharilisha wafanyakazi wa Mawizara eti Kusimama pembeni saa za kazi kupeperusha bendera kumpokea Raisi hammuoni Raisi anapingana na kile alichoeleza kwenye hotuba yake ya tarehe 28 kwamba wanasiasa waache wananchi wafanye kazi,kwa namna nyingine munapowapanga wafanayakazi wa serikali ili kumpokea Raisi ,hamuoni kwamba munawapotezea muda ukiwaangalia hatu sura zao wanaonyesha hawapendi munavyofanya
Ndg yangu Froida nami nilishajiuliza hiki kiti walimtengenezea vingi au huwa anazunguka nacho kila aendako!!!!!!
 
Kutembea na kiti cha raisi huku na huko kunatokana na mentality za kutawala na si kuongoza walizonazo wanaomzunguka raisi. Watu wa protocoal for reasons best known to themselves wanaendeleza hii tabia ambayo ni gharama kubwa tu kwa walipa kodi. Imagine kuna minder wa hicho kiti, kuna wengine wa kuhangaika na mazulia etc etc mwisho wa siku presidential entourage inakuwa kubwa lakini tija kidogo sana kulinganisha na inputs.

Ni wazi kwa tabia kama hizo raisi hujiona yuko juu ya kila mtu hata kuathiri uwajibikaji kama kiongozi just because mazingira ya kufanya kazi ikiwa ni pamoja na movement za hicho kiti kumkweza zaidi na kumfanya asipige mzigo. Kwa kifupi hii ndio tunaiona kwa raisi wetu, yaani kama huitaji kujishughulisha basi mambo muhimu yanasimama kama tunavyoona sasa. Mwajua raisi anaandaliwa just about everything hali hii ikutana na kiongozi karidhika na utukufu anaopewa (kama JK) basi hakuna kwenda mbele tena ktk kushugulikia kiukweli matatizo ya nchi. Imagine kwa kuwa JK hataki kuumiza kichwa chake inambidi aandamane na Membe kama mkia. Kwanini waziri na raisi waende kwa meeting moja (inawezekana lakini sio kwa frequency za JK)
 
Ushirikina wa Shehe Yahaya sio wasitahiri hizi, Confirmed information ni kwamba, Shehe Yahaya amechoka sana kutokana na umri (labda na maradhi ya uzee pia) hivyo JK, Familia yake na Ikulu wameanza kumpotezea kiaina kwa sasa Jakaya anatumia Waganga wa Kinigeria, na wamejazana pale Ikuru.

Tanzania sasa hainatofauti na Haiti
wewe ni moja wapo ya hawo waganga wakinigeria nini?
 
Nakumbuka Mkapa alikuj Iringa kumzika Adam sapi alikaa kwenye makochi ya mbao na mito ya kuchongesha. Sikuwa kuona mkapa anatembea na kiti. Kuna picha niliiona akiwa ametembelea shinyanga kama sikosei alikalia office chair ya kawaida kabisa, wala hajawahi anguka. Mkwere ananiacha hoi kila kitu hajiamini.
 
Utakuwa ushirikina tu! Ila tujiulize, anakwenda nacho marekani? Au ni tanzania tu? Basi ushirikina huo ni mfupi kama kaptura. Washauri wake waache kumpotosha!!!!
Hali ikiwa hivi,, burdaaani na raha mustarehe humu ndani, laikini ikiwa jambo linamhusu SLAA au MBOWE.. mwanangu utasakamwa humu na comments zako kufutwa,, na wala thread yako isionekane mbele,, inafichwa chumbani unakuwa unajibiwa na wenyewe tu. Yamenikuta leo nimeshangaa na nimefurahi kujua yaliyomo kwamba yamo.
 
Mosi, kwa wale waliochangia kwa kumshambulia aliyetuma hii thread tafadhali chonde chonde msifanye hivyo, HILI SUALA NI KWELI TUPU, Pili, hata hapo ikulu walishashangaa, lakini wamebaki kukaa kimya kwasababu ni agizo la mkubwa..tatu, amini usiamini popotee pale hapa nchini jamaa hicho kiti huwa haachani nacho, ukitaka kuamini, penye tukio lolote mara nyingi kiti hicho huletwa dakika chache kabla hajawasili sehemu husika atakapokaa. Nne, ni kweli hili suala ni la kuangalia kwa macho matatu, kwamba msisitizo wa mkuu wa kaya ni kti na masuala yanaayofanana na hayo, ina maana mambo yote kuna uhusiano na ushirikina?...nawaza tu
 
Huo ni USHIRIKINA 100%, nilikwisha jiuliza siku nyingi sana, hata akiwa anatoa usanii wake kila mwisho wa mwezi, utakuta amekalia hicho kiti!

Inaonekana anakiheshimu sana hicho kiti kuliko anavyo waheshimu watanzania. Mkuu wa Kaya ana amini uchawi kuliko Mungu, acha raia tukapate kikombe kwa Babu kama mambo yenyewe ndo hivi!:lol:
 
Huo ni USHIRIKINA 100%, nilikwisha jiuliza siku nyingi sana, hata akiwa anatoa usanii wake kila mwisho wa mwezi, utakuta amekalia hicho kiti!

Inaonekana anakiheshimu sana hicho kiti kuliko anavyo waheshimu watanzania. Mkuu wa Kaya ana amini uchawi kuliko Mungu, acha raia tukapate kikombe kwa Babu kama mambo yenyewe ndo hivi!:lol:

mmeona kiti cha kikwete ndio kina dawa,njoo ofisi za serikali uone bosi akihama ofisi anahama na kiti chake
 
Nami nilijiuliza nilipoona kiti kilekile kwenye wizara tofauti. Jibu nililopata ni kwamba "RAIS WETU NI MSHIRIKINA" kile kiti kimesomewa na Sheikh Yahaya mAjInI MaTuPu:target::target::target::target:
 
Dhana ambayo inafahmika siku nyiingi ni kuwa mamlaka yankuwa symblized na vitu kama kiti au ufunguo au ngoma au vazi fulani la juu (an overgarment) au silaha fulani kama mkuki. Na nguvu inayotoa mamlaka huwemo ndani ya ile symbol ya authority. Hivyo inawezekana kabisa nguvu anazoamini rais wetu zimo au zimewekwa ndani ya hicho kiti. La kujiuliza ni nani aliyeweka nguvu hizo?
 
Back
Top Bottom