Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,435
- 133,875
Mkuu M-mbabe, please!Naona Paskali umekuja kivingine kabisa.... haya bana!!
Mimi ni verified member!.
P
Mkuu M-mbabe, please!Naona Paskali umekuja kivingine kabisa.... haya bana!!
Mkuu Baba jayaron , asante sana na kiukweli utabarikiwa Sana!.Narudia tena Mimi sio parody Wala silipwi ni mapenzi tuuu
Life's is how you keep yourself, 59 yrs bado mdogo mno, maana wapo wenye miaka 30 lakini kimwonekano huoneka ni wababu wenye 75 yrs old, 59 is wisdomry ages!Miaka 59 ndio kijana mtu mashavu yamemshuka kabisa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hahaha..Mkuu T14 Armata , it's true, enzi zile ilikuwa ukimaliza form VI lazima upite jeshini JKT kwa mujibu wa sheria, kabla ya kujiunga na chuo, sasa wale wazuri kwe MM, unapelekwa straight JWTZ. Mimi niliongoza somo la Range, kati ya 10, nilihit the bull 9!, hivyo baada ya JKT nikaenda straight JWTZ.
Na kiukweli hata ile bunduki yangu nyingine! nayo... kila nikilenga tuu, ni goli... uwanja tuu wa nyumbani nina magoli 9, ukiacha mipira ya kona na magoli ya ugenini!.i Siku yangu ya siku ikifika itakuwa shughuli!, kama hits zote za bull zitaibuka chapaa zao!.
p
Duh...!, Mkuu Kiranga!, hata wewe?!. Please!. Mimi nakuhesabu ni mmoja wa watu wenye jicho la roho, mtu akidanganya, utamjua!, Pasco wa jf, au Paskali, hajawahi kuwa na I.D nyingine humu, tangu amejiunga JF, amejiunga as a verified member, he always speaks his mind freely, hana haja ya kujificha nyuma ya keyboard au kutumia pen name yoyote!.Hapa kuna hatari watu wataanza kujipigia chepuo kwa ID nyingine sasa hivi
Wapo watu kwa kweli wanastahili hizi posti Pascal Mayalla, abubakar liongo!Duh...!, Mkuu Kiranga!, hata wewe?!. Please!.
P.
Una IDs nyingi. Umeona ujipigie debe....Asalaaam,
Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.
Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.
Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.
Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.
Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.
Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.
Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.
Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Jamaa anastahili kwa kweli no matter ni yeye au la, round ya akina bety mkwasa as journalist ilishapita it's a time for this group at now!Una IDs nyingi. Umeona ujipigie debe....
Mkuu Komeo Lachuma, mimi tangu nimejiunga jf, nina I.D moja tuu!.Una IDs nyingi. Umeona ujipigie debe....
Asante mkuu una CV kubwaMkuu T14 Armata , it's true, enzi zile ilikuwa ukimaliza form VI lazima upite jeshini JKT kwa mujibu wa sheria, kabla ya kujiunga na chuo, sasa wale wazuri kwe MM, unapelekwa straight JWTZ. Mimi niliongoza somo la Range, kati ya 10, nilihit the bull 9!, hivyo baada ya JKT nikaenda straight JWTZ.
Na kiukweli hata ile bunduki yangu nyingine! nayo... kila nikilenga tuu, ni goli... uwanja tuu wa nyumbani nina magoli 9, ukiacha mipira ya kona na magoli ya ugenini!.i Siku yangu ya siku ikifika itakuwa shughuli!, kama hits zote za bull zitaibuka chapaa zao!.
p
Kama si chawa wake, basi ni yeye mwenyewe Pascal Mayalla kaandika hayaAsalaaam,
Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.
Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.
Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.
Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.
Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.
Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.
Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.
Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Duh...!, Mkuu Ngali, Ngalikihinja!, hata wewe?!. Wewe ni mmoja wa watu humu very understanding ambao ukimfahamu mtu, una uwezo wa kumjua what he is capable of and not. Kwa jinsi tunavyofahamiana humu jf, kama hata wewe, unaweza kudhani Pascal Mayalla, is capable kutumia fake ID, akajianzishia thread ya kujifagilia!, then we have a long way to go!.Kama si chawa wake, basi ni yeye mwenyewe Pascal Mayalla kaandika haya
May be neno chawa halijakaa sawa kwako..!! Lakini tuna namna ya kuyatazama mambo humu JF and even nje ya humu. Inawezekana mtoa mada ametoa kitu ambacho wengine hatukikiona kwa jicho hilo, au labda hata wewe umekiona kwa jicho sawa na mtoa mada au tofauti naye. Binafsi sikutazami kwa namna ambayo mtoa mada anakutaza. Na ndiyo hasa sababu ya kusema hayo.Duh...!, Mkuu Ngali, Ngalikihinja!, hata wewe?!. Wewe ni mmoja wa watu humu very understanding ambao ukimfahamu mtu, una uwezo wa kumjua what he is capable of and not. Kwa jinsi tunavyofahamiana humu jf, kama hata wewe, unaweza kudhani Pascal Mayalla, is capable kutumia fake ID, akajianzishia thread ya kujifagilia!, then we have a long way to go!.
P
Sio may be neno chawa halijakaa sawa kwangu, bali kitendo cha mtu wa calibre yako, kunifikiria tuu kuwa mimi naweza kuwa chawa!, that alone is an insult to me!. Ukitukanwa na wajinga, huumii kama ukitukanwa na waerevu!.May be neno chawa halijakaa sawa kwako..!!
Thanks.Lakini tuna namna ya kuyatazama mambo humu JF and even nje ya humu.. Binafsi sikutazami kwa namna ambayo mtoa mada anakutaza. Na ndiyo hasa sababu ya kusema hayo.
Umenikwoti tofauti. Niliposema chawa wake kaandika sikuwa na maana wewe ndiyo chawa mwenyewe..!! Mtu anakuwaje chawa kwake mwenyewe? Na ndiyo maana nikasema... KAMA SI CHAWA WAKE, BASI NI YEYE MWENYE KAANDIKA..!! Sijui umeielewaje hii statementSio may be neno chawa halijakaa sawa kwangu, bali kitendo cha mtu wa calibre yako, kunifikiria tuu kuwa mimi naweza kuwa chawa!, that alone is an insult to me!. Ukitukanwa na wajinga, huumii kama ukitukanwa na waerevu!.
Thanks.
P