Kitengo cha Vetting kimmulike mwana JF huyu

Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Ndo nan au ule wa Mkwepu?
 
Umenikwoti tofauti. Niliposema chawa wake kaandika sikuwa na maana wewe ndiyo chawa mwenyewe..!! Mtu anakuwaje chawa kwake mwenyewe? Na ndiyo maana nikasema... KAMA SI CHAWA WAKE, BASI NI YEYE MWENYE KAANDIKA..!! Sijui umeielewaje hii statement
Kiukweli nimeielewa vibaya kuwa aliyepandisha bandiko hili ni ama ni chawa wangu, na ikitokea sio chawa wangu, then unamaanisha ni mimi mwenyewe ndio nimeandika, kujigeuza chawa wangu.
P.
 
Sasa mtu unakuwaje chawa wa wewe mwenyewe? Labda tuanzie kwenye definition ya chawa
 
Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Wewe ni P mwenyewe
 
Chawa ni mtu anayesifu ili kupata something!. Mtu anayetaka kusifiwa, anaandaa ma chawa wa kumsifia, wakiwemo keyboard warriors, kwa vile whoever is behind the keyboard is invisible, then kuna wajinga, wanaweza kabisa kutumia fake ID na kujifanyia uchawa, ili waonekane wanakubalika!. Wanamuziki wa Bongo Stars au Bongo Movie, wanafanya kituko kuteneneza kicki. Kitendo cha baadhi ya members humu kufikiri na mimi naweza kufanya ujinga huu, naona ni kama wananitukana!.
P
 
Duh...!, Mkuu Kiranga!, hata wewe?!. Please!. Mimi nakuhesabu ni mmoja wa watu wenye jicho la roho, mtu akidanganya, utamjua!, Pasco wa jf, au Paskali, hajawahi kuwa na I.D nyingine humu, tangu amejiunga JF, amejiunga as a verified member, he always speaks his mind freely, hana haja ya kujificha nyuma ya keyboard au kutumia pen name yoyote!.

P.
Roho ni nini? Unaweza kuthibitisha ipo?

Kwani wapi nimesema Pascal ana ID nyingine?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Wewe ni P mwenyewe
Duh...!. Kwa sisi wengine wetu tunafahamiana kupitia jf, for more than 10 years, tunafahamiana abilities na capabilities zetu, kuna watu tumejijengea heshima kubwa humu JF na kuna watu tunawaheshimu sana humu, hivyo kuna vitu vya ovyo na vya kijinga, you just can't imagine they could do such a thing!. Mimi Pascal Mayalla, kwa jinsi ninavyo iamini jf, na kuiheshimu, siwezi kufanya ujinga kama huu wa kufungua fake ID na kuanza kujifagilia ili nionekane nafagiliwa!.
P
 
Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Huyu hafai kuwa kiongozi ana vinasaba vya kujipendekeza sana ni jamii ya wale viongozi vijana wa kipindi cha Mwendazake.Kwa taarifa yako huyu alikataliwa na Wajumbe alipata kura moja hafai huyu.
 
Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Uongozi wa kupewa kwa kuhurumiwa hauna tija
 
Back
Top Bottom