WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
- Thread starter
- #61
Nini kilicho asilimia mia? Hata DNA ya mzazi na mtoto haiko asilimia mia...sasa itakuwaje maneno yangu ninayoyatoa kwenye mtandao kama Julius (jina bandia) aka Nyani Ngabu yawe ya uhakika kwa asilimia mia?
Hiki:
umeeleweka...Huwezi kumkuta mtu aliyeelimika kama Mama Migiro akimfanyia bintiye huu ujinga ujinga. Hata wanawake wale wanaofagilia huu upuuzi ukiangalia elimu zao ndi ndogo sana.
Nyambaaaf kabisa...