Kitchen Party: Yatokanayo...

kwa mtazamo wangu naona kitchen party aisaidii chochote zaidi ya kuharibu.

yaani wanafundishwa kuwa na mafiga matatu,na kumdhibiti mume kwa kumpa tigo.ningeweza ningepiga marufuku hizo kichen party
 
Ikiwa nimesema uongo, toa ushahidi wa uongo wangu, lakini kama nimesema vema, kwanini wanipinga?
napinga Boss KP haifunzi kunywa pombe na kusepa matatizo ya ndoa bali inafundisha hasa namna ya kumuenzi mmeo ,familia na jamii inayotuzunguka ,lakini kama sehemu nyingine zao ziko hivo basi zinapotosha maadili ya mwanamke
 
Si unaona FL1 kashaanza?
hayo mbona siyo mashambulizi.... ni kama vile anataka uendelee kutoa facts na ushahidi..hebu sema basi huko kwenye BP yenu mnavyofundishwa kucheat na kusepa kwa kwenda mbele..maana mwanaume akifumaniwa hata siku moja hakubali..anakataa kata kata!
 
Yeah. Kuna jamaa yangu alifumaniwa live na mkewe. Gesti, wako uchi kama walivyozaliwa, tena walikuwa wameshafanya vitu vyao. Lakini jamaa lilikanusha kama halina akili nzuri. Lilijitetea halafu mwishoni likamwambia mkewe. Wife nashukuru sana, kuja kwako hapa ni kama mpango wa Mungu, kweli nilikuwa nataka kudo na huyu bibie, lakini naona Mungu kakuleta hapa ili nisifanye. Labda ilikuwa siku ya kupata UKIMWI. Ahsante mke wangu kwa kuniwahi.
Wife kalia huku akimwomba mume wake asijaribu tena kwa kuwa Mungu tayari kashamwepushia na balaa kama angedo na yule mdada. Kalaghabaho!

Thanks to BP
 
napinga Boss KP haifunzi kunywa pombe na kusepa matatizo ya ndoa bali inafundisha hasa namna ya kumuenzi mmeo ,familia na jamii inayotuzunguka ,lakini kama sehemu nyingine zao ziko hivo basi zinapotosha maadili ya mwanamke

Hapa mamii, haizungumzii KP bali BP - Bachelor Party. Vera alitaka nimwelezee kinachotokea kwenye BP.
 
Mh!...kwa upande mwingine, networking inayozunguziwa kama advantage kwa upande wa wanawake ndio hiyo hiyo inayohamasisha uwepo wa hizi KP, kwani ni kwua kupitia hizi KP wanapata kukutana. Huyo dada aliyekataa kutofanyiwa KP nadhani alikuwa ameshainvest vya kustosha kwenye "vicheni pati' za wenzio so alitaka na yeye 'arudishiwe'. Na pia kiuchumi zinastimulate spending kwa vile nasikia kwa sasa kuna mambo ya sare. champagne, muziki na MC achilia mbali zawadi.

Lakini on the moral side of it..kile kinachotendeka ndio hasa kinaleta hofu, na mi nakibaliana nna hofu hiyo ya mmomonyoko wa maadili kwa sababu kwanza wengi wanaoenda huko wanakuwa wanayajua. Ni nani hata hapa jammvini ataniambia kuwa anahitaji kwenda KP kujua 'mbuzi kagoma' au 'paka mapepe' au 'kisususio' sijui 'kususa'? nina hakika wengi wanajua tayari....
 
yaani wanafundishwa kuwa na mafiga matatu,na kumdhibiti mume kwa kumpa tigo.ningeweza ningepiga marufuku hizo kichen party

Boss huu ni upotofu..... nilizohudhuria sijawahi kusikia mafundisho kama haya..sijui wewe mwenzetu ulisikia wapi.

napinga Boss KP haifunzi kunywa pombe na kusepa matatizo ya ndoa bali inafundisha hasa namna ya kumuenzi mmeo ,familia na jamii inayotuzunguka ,lakini kama sehemu nyingine zao ziko hivo basi zinapotosha maadili ya mwanamke
Hili neno FL!
 
Mh!...kwa upande mwingine, networking inayozunguziwa kama advantage kwa upande wa wanawake ndio hiyo hiyo inayohamasisha uwepo wa hizi KP, kwani ni kwua kupitia hizi KP wanapata kukutana. Huyo dada aliyekataa kutofanyiwa KP nadhani alikuwa ameshainvest vya kustosha kwenye "vicheni pati' za wenzio so alitaka na yeye 'arudishiwe'. Na pia kiuchumi zinastimulate spending kwa vile nasikia kwa sasa kuna mambo ya sare. champagne, muziki na MC achilia mbali zawadi.

Lakini on the moral side of it..kile kinachotendeka ndio hasa kinaleta hofu, na mi nakibaliana nna hofu hiyo ya mmomonyoko wa maadili kwa sababu kwanza wengi wanaoenda huko wanakuwa wanayajua. Ni nani hata hapa jammvini ataniambia kuwa anahitaji kwenda KP kujua 'mbuzi kagoma' au 'paka mapepe' au 'kisususio' sijui 'kususa'? nina hakika wengi wanajua tayari....

Commercialisation ya KP na utandawazi global and local vyote vimeleta athari na kupotosha maana ya dhana na maana ya KP.
Kuna KP nyingine kwa kweli hata wenye uzoefu wanafaidika maana ni kama refresher course au in service training.Mtu lazima aendelee ku upgrade knowledge na skills ziku zote.Vinginevyo utapitiwa na mengi.
 
Wasi wasi wangu Vera ni kama kumekuwa na 'mapya' tangu kuumbwa kwa ulimwengu? au ndio hayo ya kufunzana namna ya 'kuadapt' utamaduni wa wengine?
 
Unajua Kaizer - kitchen party haifundishi tu namna ya kumfurahisha mwandani wako.Kuna mambo mengine kwamfano matumizi ya vifaa na technoljia mbalimbali za usafi, kuhuisha kazi na maisha ya kifamilia kwa career women, kupunguza migogoro - hivi ni vitu ambavyo vina evolve with time.Yapo mengi sana..usiangalie upande mmoja tu.Kama ni hilo tu mbona kila mtu angejitafutia namna yake ya survival?
Ofcourse inategemea mtu anaenda KP gani....
Kitu nimejifunza ni kuwa KP pia ni class issue!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom