Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

M kathias

M kathias

JF-Expert Member
1,959
2,000
NI VIGUMU KUNISHAWISHI KAMA KUNA KITABU KIZURI ZAIDI YA HIKI.Nimesoma zaidi ya vitabu 150 mpaka sasa ila hiki ni mwisho wa matatizo.Vitabu wanavyovitaja nimevisoma karibu vyote

View attachment 1001069
Hiki kitabu ni nomaaaaa aise, kiko poa.

Huwa natamani kila mtu akisome.

Sent using simu mbovu
 
The Martyr

The Martyr

JF-Expert Member
392
225
Ukisoma "Think and grow rich-Napoleon Hill" lazima utakuja kuedit hiyo reply yako.

NOTE:
Nimesoma vyote hivyo viwili na nilianza na hicho cha Kiyosaki nikawa nakisifu kama wewe ulivyoandika

hii ni master piece
 
The Martyr

The Martyr

JF-Expert Member
392
225
I am in need of the Book "The Total Money Makeover by Dave Ramsey" anyone with this book please share.
 
Humorous Junior

Humorous Junior

JF-Expert Member
1,077
2,000
THE BOOK IS MY ROYAL BEST FRIEND....SIJAWAHI SALITIWA NA KITABU HATA SIKU MOJA. VITABU VIMENIFANYA NI BADILI MTAZAMO NA KUJENGA IMANI YANGU UPYA. NILIANZA KUSOMA VITABU VYA ART OF LIVING MWAKA 2015. KITABU CHANGU CHA KWANZA NI HIKI HAPA "SIXTEEN LAWS OF SUCCESS By NAPOLEON HILL". MPAKA SASA NI SHASOMA VITABU VINGI SANA NA BADO NAFARIJIKA NA VITABU MPAKA SASA.

MPAKA KATIKA SMARTPHONE NINA APPLICATION ZA VITABU 16. AMBAVYO NINA MPANGO WA KUVISOMA NDANI YA MIEZI MIWILI TU NISHASOMA VIWILI HADI SASA.
 
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
7,277
2,000
- Magic of thinking big
- Change your thinking change your life
- The power of your subconsious mind

Wiki hii biz naendelea kusoma kitabu cha Darren Hardy "The compound effect"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
4,919
2,000
- Magic of thinking big
- Change your thinking change your life
- The power of your subconsious mind

Wiki hii biz naendelea kusoma kitabu cha Darren Hardy "The compound effect"

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp mkuu hicho kitabu kipo fresh ulivyokiona mana lecturer wang mmoja hiv aliniambia nikisome na had leo sijasoma
 

Forum statistics


Threads
1,424,524

Messages
35,065,977

Members
538,010
Top Bottom