William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
- #81
Thank U boss[emoji121]
MKUU,
"a" ISN'T A PREPOSITION,
WE LINGUISTICALLY CALL IT "an indefinate article".
I also stand to be corrected.
le Mutuz Superbrand
Thank U boss[emoji121]
MKUU,
"a" ISN'T A PREPOSITION,
WE LINGUISTICALLY CALL IT "an indefinate article".
I also stand to be corrected.
big freaking deal!![]()
- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya kukipata. Karibuni sana ndugu zangu mjipatie copy. ...Call +255 717 618 997 bei haitazidi 15K. ....ni Version ya kwanza kwa KISWAHILI kina Page 260.
le Mutuz Super Brand.
NA WEWE VIPI MAANA NAONA UNATAJA WANAUME WENGINE VIPI WEWE?big freaking deal!
hata Makamba (yule mjeda mwenye cheo cha luteni Yusuf Makamba) pia aliandika kitabu...
wewe unajiita mwanaume kweli?NA WEWE VIPI MAANA NAONA UNATAJA WANAUME WENGINE VIPI WEWE?
Unafanya jambo kwa ajili yako ama kwa ajili ya jamii?Nashindwa niseme nini, napenda sana vitabu na natamani nikinunue lakini nikifikiria jamii inavyokuchukulia naona aibu kukinunua.
Lemutuz hongera kwa kitabu chako!ni hatua kubwa sana!ila tatizo ni kwamba umeelemea zaidi na fikra za ki ccm kwamba diaspora wote wanaishi majuu wanapata tabu sana lakini umeshindwa kuelezea na waliofanikiwa pia!kutokufanya hivyo kitabu chako hakitakuwa tofauti na shilawadu!![]()
- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya kukipata. Karibuni sana ndugu zangu mjipatie copy. ...Call +255 717 618 997 bei haitazidi 15K. ....ni Version ya kwanza kwa KISWAHILI kina Page 260.
le Mutuz Super Brand.
Na hapa ndiyo pana tatizo mimi aliniblock kwa sababu ya kijinga kabisa, a very simple criticism kipindi cha kampeni.Umeniblock Instagram
an article "a" has to be thereI disagree!
The preposition ‘a’ has to be there.
Hongera Sana Le Mutuz. Soon kitabu kikitoka nitakuja kujipatia Copy.
- Sisi vijana wa kitanzania tuna mengi sana tunayotakiwa kujifunza kutoka kwako , ni vijana wachache waliogundua Fursa hii ie. Makonda
- Mimi kwenye swala la marekebisho nashauri ungebadilisha Uimara wa Cover na kitabu chenyewe. Naona kama kipo weak sana kama vile vya nyambari nyangwine. Sasa naona kama kitashindwa kudumu.
- Zaidi ya Hapo Hongera sana. Na vijana wa Tz Acheni wivu jaman
Mobimba, boma yee
Baada ya kuuza nakala kadhaa as per your target ongea na shigongo (lazima ni your super friend) akupe page moja kwenye gazeti unakuwa kila week unaweka muendelezo wa the super gadem story plus matangazo ya wadhamini wako sijui kina asas wale etc
Na hapa ndiyo pana tatizo mimi aliniblock kwa sababu ya kijinga kabisa, a very simple criticism kipindi cha kampeni.
Hivi ukisema mchagueni fulani mwingine akasema hatumchagui hiyo ni sababu ya kumblock mtu?.
Katika utumiaji wangu wa mitandao huwa simblock mtu kwa kunicriticise. Lakini mwenzangu anajiita king wa social media hana ustahimilivu, yeye na dada yake Mange. Mange aliniblock kipindi cha kampeni akaja kuniondolea block baadaye.
Ni lazima wajifunze kupokea critism kama wanaweza kucriticise wengine why wasiwe wao?
It is an article not prepositionI disagree!
The preposition ‘a’ has to be there.
Lemutuz hongera kwa kitabu chako!ni hatua kubwa sana!ila tatizo ni kwamba umeelemea zaidi na fikra za ki ccm kwamba diaspora wote wanaishi majuu wanapata tabu sana lakini umeshindwa kuelezea na waliofanikiwa pia!kutokufanya hivyo kitabu chako hakitakuwa tofauti na shilawadu!
Huu ni mtazamo wangu tu wakuu msijenge chuki![emoji23] nasikia na huko Bongo mmetangaziwa kabisa na serikali mtapata tabu saaana!