Brother mimi ni msanii na nyimbo kali sana sema sijatambulisha radion unaweza kunisaidia ili nizitambulishe
Beira boy umekula shavu hilo- Itabidi utume samples kwanza kwenye email
le Mutuz Superbrand
Hakuna kitu kama hicho huwa hamtaki criticism. Kwenu bora uwe na followers 10 misukule inayokubali kila kitu kuliko kuwa na watu wanaokosoa na kupinga mnachopost. Halafu eti uhuru wa mawazo.- Hapana wewe najua ni mtumzima na una akili timamu sana, unajua kwamba uliandika abusive language ndio maana ukaondolewa maana my policy ni bora niwe na followers 10 wastaarabu kuliko Millioni majuha, huwa ninamdhaarau sana mtu yoyote akiniambia amekuwa blocked kwangu cause najua ni ****.
le Mutuz Superrand
Hakuna kitu kama hicho huwa hamtaki criticism. Kwenu bora uwe na followers 10 misukule inayokubali kila kitu kuliko kuwa na watu wanaokosoa na kupinga mnachopost. Halafu eti uhuru wa mawazo.
Rubbish
Shikamoo..![]()
- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya kukipata. Karibuni sana ndugu zangu mjipatie copy. ...Call +255 717 618 997 bei haitazidi 15K. ....ni Version ya kwanza kwa KISWAHILI kina Page 260.
le Mutuz Super Brand.
bro email yako naipataje kaka nikutumie- Itabidi utume samples kwanza kwenye email
le Mutuz Superbrand
Hatar sana ndo nimetoboa hivyo maana maana ngoma zangu zote ni sumuBeira boy umekula shavu hilo
Sema punguza Maisha ya kuigiza na umri pia but big up mwanzo mzuri Kwa kitabu
Shikamoo..
Napenda kukupongeza kwa hatua hii nzuri kwa kitabu hiki. Ningependa sana kusoma, kujua ulichandika ndani. Asante..
Okay mkuu hata hivyo ni uamuzi wako mimi nilikuwa nashauri tu maana naamini kwenye Uhuru wa maoni na kujieleza sasa napoona watu hawataki kukosolewa nasikitika sana.- Well, page yangu Instagram ni moja ya the very respected page ndio maana hata matangazo yangu ni ya powerful brands kwa sababu ya nidhamu ya page, pole sana ila sina muda na majuha kwenye my page.
le Mutuz Superbrand.
Okay mkuu hata hivyo ni uamuzi wako mimi nilikuwa nashauri tu maana naamini kwenye Uhuru wa maoni na kujieleza sasa napoona watu hawataki kukosolewa nasikitika sana.
Sasa mpaka Leo unaishi kwenye apartment za wahindi , video za vibamia kuvuja, picha za utupu na mademu naumri wako umeenda zaidi ya 55+ unawafundisha nini watoto wako na jamii. Badilika babu yangu umenizidi zaidi 40 yrs- Well, sijui mnaposema maisha ya kuigiza mana maana gani, ninaishi nyumbani kwangu, ninajilipia maisha yangu yote, ninamiliki kampuni yangu na kuwaajiri vijana 5, leo mpaka nimeandika kitabu eti niambie uigizaji in my life upo wapi?
le Mutuz Superbrand
Ngoma zako zitapigwa Sana wasafi TV na dizzim TV, hatari Sana jombaHatar sana ndo nimetoboa hivyo maana maana ngoma zangu zote ni sumu