Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

39216055_1024276434421421_2231539843064659968_n.jpg


- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya kukipata. Karibuni sana ndugu zangu mjipatie copy. ...Call +255 717 618 997 bei haitazidi 15K. ....ni Version ya kwanza kwa KISWAHILI kina Page 260.

le Mutuz Super Brand.
Mkuu @W.J. Malecela upo kwemye list ya kupigwa pingu na makonda usipooa mwaka huu, uza kitabu ukitambua hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni trend nzuri, alianza Edwin Mtei, Reginald Mengi na wewe umetupa uzoefu wako, ni jambo jema, knowledge is power, tutaendelea kusoma na kujifunza.
 
Ni trend nzuri, alianza Edwin Mtei, Reginald Mengi na wewe umetupa uzoefu wako, ni jambo jema, knowledge is power, tutaendelea kusoma na kujifunza.

- Thanks boss, so ninaingia kwenye historia ya Taifa, alianza Mafuru, Mzee Mengi na sasa mimi Le Mutuz Super Brand

le Mutuz
 
My nigga....hapo ilitakiwa kuwa ‘Based on a true story’ na siyo ‘Based on true story’.

Mnaweza kusahihisha?
Mkuu mambo ya lugha ni magumu sana hata huku lugha yetu imekuwa ngumu, tunandika Kiswahili kisichoeleweka kwa mfano mtu anaandika '' kwa laha zangu, kipengere, alafu, akuna ''
 
Huyu mzee alitusumbua sana humu, ni kati ya wanufaika wa utawala mbovu wa Mwendazake. Pole zake[emoji16][emoji16]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom