Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

Nashindwa niseme nini, napenda sana vitabu na natamani nikinunue lakini nikifikiria jamii inavyokuchukulia naona aibu kukinunua.
 
Lemutuziiii hongeraa saana umesema haitazidi 15k? Duuuh affordable price for poor people we can handling the price

Thank you
 
Mbona likitabu likubwa kama vile vya kufundishia darasa la kwanza ungepunguza umbile viwe vinabebeka na kiurahisi
 
39216055_1024276434421421_2231539843064659968_n.jpg


- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya kukipata. Karibuni sana ndugu zangu mjipatie copy. ...Call +255 717 618 997 bei haitazidi 15K. ....ni Version ya kwanza kwa KISWAHILI kina Page 260.

le Mutuz Super Brand.
Hakina mvuto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom