Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,466
39216055_1024276434421421_2231539843064659968_n.jpg


- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya kukipata. Karibuni sana ndugu zangu mjipatie copy. ...Call +255 717 618 997 bei haitazidi 15K, ni Version ya kwanza kwa KISWAHILI kina Page 260.

le Mutuz Super Brand.
 
Hahaha, Mkuu tupe kwanza mendeleo ya Online Radio au ilishakufa?


Isije ikawa ushafeli, sasa unataka kujaribu kila kitu! Vizuri ukatueleza nini cha muhimu tutegemee katika Jarida lako maana ulisha prove failure mkuu!
 
39216055_1024276434421421_2231539843064659968_n.jpg


- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya kukipata. Karibuni sana ndugu zangu mjipatie copy. ...Call +255 717 618 997 bei haitazidi 15K.

le Mutuz Super Brand.
Hongera sana Mkuu... Ni funzo kwetu wadogo zako... Natamani niwe wakala wa mauzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom