Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

- Mimi sio mwenda wazimu nichukue kazi za mtu, ni kawaida kujifanya mnajua sana mkifika kwenye mitandao ukiandika ujinga my page nakuondoa uliandika matusi nikakuondoa na hutarudi labda kwa id nyingine
, unatakiwa kumrekebisha binadam unayemlisha na kumilipia nyumba.

le Mutuz Superbrand
Mi siyo mwendawazimu pia kuandika matusi!hakuna matusi yoyote niliyoyaandika zaidi ya kukutaka uacknowledged kuepuka plagiarism!

Ni kweli ulitumia andiko la Pio Pius,na kujifanya ni wewe!na siyo mara moja ni tabia yako hiyo,ukiambiwa ukweli unaishia kublock!

Jaribu kukubaki kukukosolewa!huo ndio uungwana!na acha kusingizia kwamba umetukanwa!
 
- Mimi Pio Pius, Kicharungu na Adam siku zote tunatumia maandishi yetu bila tatizo sasa wewe kilichokuwasha ndio maana mnaambiwa pilipili iko shamba wewe inakuwashia nini? pole sana ila uliyataka mwenyewe ila sitakurudisha ingia kwa id nyingine tu ndio sheria yangu!

Hata kama mnafahamiana,lakini haimaniishi utumie andiko lake bila ya kumuacknowledge!

Huo ni utetezi wa ajabu kabisa kwa mtu ambaye unataka tununue kitabu chako!

Mi silalamiki wewe kuniblock, maana umeniwahi tu ningekublock Mimi!kuna page za kulalamika ukiwa blocked lakini siyo yakwako Mkuu!

Mimi ninachoendelea kukushauri tu unapotumia andiko la mtu toa credit,na kubali kukoselewa!
 
Sasa mpaka Leo unaishi kwenye apartment za wahindi , video za vibamia kuvuja, picha za utupu na mademu naumri wako umeenda zaidi ya 55+ unawafundisha nini watoto wako na jamii. Badilika babu yangu umenizidi zaidi 40 yrs
Buraza taratibu.... unaweza tumia tafsida
 
Mimi nitasoma vipande vyake watakayonifungia maandazi!!
 
- Mimi sio mwenda wazimu nichukue kazi za mtu, ni kawaida kujifanya mnajua sana mkifika kwenye mitandao ukiandika ujinga my page nakuondoa uliandika matusi nikakuondoa na hutarudi labda kwa id nyingine
, unatakiwa kumrekebisha binadam unayemlisha na kumilipia nyumba.

le Mutuz Superbrand
Teh teh teh uzinduzi vipi? Uliikimbia child support weyee
 
Mimi uliniblock kwa kukurekebisha tu,wala sikutumia lugha chafu

Kuna post ulitoa ulikua umeicopy mahali nikakushauri tu ni vizuri ukamu acknowledge muandishi,umpe credit zake kuliko kujifanya ni wewe uliyeandika!

Ukaishia kuniblock!

- Hukurumia lugha nzuri na besides hujui what is behind the scene!

le Mutuz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom