Japo sipendezwi na itikadi zako za kilumumba (uCCM) Ila huwa nakubali sana Hustles zako....you an inspirational bro big up!
Yupo very right kusema " Based on true story" kama ameweka actual events.My nigga....hapo ilitakiwa kuwa ‘Based on a true story’ na siyo ‘Based on true story’.
Mnaweza kusahihisha?
Thanks for disagreeing.I disagree!
''a''My nigga....hapo ilitakiwa kuwa ‘Based on a true story’ na siyo ‘Based on true story’.
Mnaweza kusahihisha?
Kitabu cha hovyo kabisa,hovyo sana![]()
- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya kukipata. Karibuni sana ndugu zangu mjipatie copy. ...Call +255 717 618 997 bei haitazidi 15K. ....ni Version ya kwanza kwa KISWAHILI.
le Mutuz Super Brand.
Hongera sana Mkuu... Ni funzo kwetu wadogo zako... Natamani niwe wakala wa mauzo
View attachment 837004Hii picha ilistahili kuwekwa kava
Mimi naahidi kukuunga mkono kwa kununua kitabu kwa bei ya 1,000,000(milioni 1)
Nafikiri imetengenezwa ba injinia nguli James Hodson mkuu- Bila kupitia this kind of process kitabu kisingekuwa na thamani, ilikua ni build up kuelekea KWENYE kuandika kitabu, unajua hii picha aliitengeneza nani?
le Mutuz Super Brand
Naweza kukupataje Mkuu?...- Karibu sana mkuu tuwasiliane tu!
le Mutuz
Salute mkuu kwa mafanikio yako.- Bila kupitia this kind of process kitabu kisingekuwa na thamani, ilikua ni build up kuelekea KWENYE kuandika kitabu, unajua hii picha aliitengeneza nani?
le Mutuz Super Brand
Najitosheleza mkubwa lemutuz...- Sio lazima kuabdilisha bado hakijaharibika kitu ni utashi tu wa lugha sio makosa kuita "Based on a True Story" unahangaika tu vipi umepiga masanga nini maana unatoka mapovu sana!
le Mutuz Super Brand