Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

Vipi mkuu umeweka na Softcopy wengine kukaa na hardcopy ni mtihani tupo on transit sana!.. At least nikikiweka Google Drive yangu any time nakifungua jisomea nikipata muda!.
 
Labda kama ni dummy print stage!!
Kama kimeshawekewa mpk na tarehe ya kuzinduliwa ambayo ni mwisho wa mwezi,marekebisho yanafanyika lini?
inategemea LAKIN!!

So just let it hit the market just like that, with an error on the cover?

Hmm....okay!
 
Hamna kitu.. Mwandishi weledi Hana. ..usitegemee kukuta fact za maana zaidi ya porojo..
 
Mkuu nitakutafuta na mimi niweze kukisoma pia. Hongera kwa kufanikisha hatua hii.
 
Hongera sana big bro, mimi ni shabiki wako,
Jinsi ya kukupata ili kua wakala please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom