Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

Kitabu changu 'My American Experience' kipo tayari sasa

Sijui kilichomo ndani ya Kitabu ila tuu nikupe hongera kwa kuandika kitabu...
Ni watz wachache sana wenye tamaduni hizo...
All is well
 
Huu mwaka Tanzania imepiga hatua kubwa, sasa watu wenye kuweza kusaidia ndoto za vijana kupitia experience zao wameamua kuziweka katika vitabu, big up to Mzee Mengi, Mr. Mufuruki na the King of all social medias in bongo W. J. Malecela kwa kutuletea maarifa mapya watanzania!
 
Hongera sana kaka kwa kuandika kitabu. It is my life dream too. I wish will have a copy no matter what.

Make a good sale!
 
- Well, sijui mnaposema maisha ya kuigiza mana maana gani, ninaishi nyumbani kwangu, ninajilipia maisha yangu yote, ninamiliki kampuni yangu na kuwaajiri vijana 5, leo mpaka nimeandika kitabu eti niambie uigizaji in my life upo wapi?

le Mutuz Superbrand

Ile story ya kukimbia child support ipo humo?
 
Silijui hili lemuntuz nalisikiaga tu kwenye mitandao.Sikubaliani na watu wanaoliponda sijui kitabu hakina mvuto utafikiri ni lazima kununua.
 
Sasa mpaka Leo unaishi kwenye apartment za wahindi , video za vibamia kuvuja, picha za utupu na mademu naumri wako umeenda zaidi ya 55+ unawafundisha nini watoto wako na jamii. Badilika babu yangu umenizidi zaidi 40 yrs
Mwache aishi maisha yake usimpangie....kama wewe ni mdogo rudi kwa mama ako ukanyonye
 
Sasa mpaka Leo unaishi kwenye apartment za wahindi , video za vibamia kuvuja, picha za utupu na mademu naumri wako umeenda zaidi ya 55+ unawafundisha nini watoto wako na jamii. Badilika babu yangu umenizidi zaidi 40 yrs

- Sasa mbona ninaishi na matajiri wa Tanzania humu kwenye apartment za mjini? Mengine ni ya kawaida sana ungeniambia ninajaza watoto mtaani wasio na wazazi sawa pole sana kwamba sipo kama unavyotaka nipo kama ninavyotaka, mimi sio mtoto wako wala baba yako, ningekuwa sawa ila i am my own man ninaishi maisha yangu wewe una choice to follow me au kufa!, ila maisha yangu hayakuhusu period!

le Mutuz Superbrand
 
Kuna watu tunapenda sana kusoma vitabu ila kikiwa kwa lugha ya Rooney...huwa tuna kaa pembeni
 
- Hapana wewe najua ni mtumzima na una akili timamu sana, unajua kwamba uliandika abusive language ndio maana ukaondolewa maana my policy ni bora niwe na followers 10 wastaarabu kuliko Millioni majuha, huwa ninamdhaarau sana mtu yoyote akiniambia amekuwa blocked kwangu cause najua ni ****.

le Mutuz Superrand
Mimi uliniblock kwa kukurekebisha tu,wala sikutumia lugha chafu

Kuna post ulitoa ulikua umeicopy mahali nikakushauri tu ni vizuri ukamu acknowledge muandishi,umpe credit zake kuliko kujifanya ni wewe uliyeandika!

Ukaishia kuniblock!
 
- Bila kupitia this kind of process kitabu kisingekuwa na thamani, ilikua ni build up kuelekea KWENYE kuandika kitabu, unajua hii picha aliitengeneza nani?

le Mutuz Super Brand
haijatengenezwa bali imepigwa
 
Mimi uliniblock kwa kukurekebisha tu,wala sikutumia lugha chafu

Kuna post ulitoa ulikua umeicopy mahali nikakushauri tu ni vizuri ukamu acknowledge muandishi,umpe credit zake kuliko kujifanya ni wewe uliyeandika!

Ukaishia kuniblock!

- Mimi sio mwenda wazimu nichukue kazi za mtu, ni kawaida kujifanya mnajua sana mkifika kwenye mitandao ukiandika ujinga my page nakuondoa uliandika matusi nikakuondoa na hutarudi labda kwa id nyingine
, unatakiwa kumrekebisha binadam unayemlisha na kumilipia nyumba.

le Mutuz Superbrand
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom