Wasiojua kiswahili wanaangalia haya maigizo kweli? Sioni umuhimu wakuweka subtitles
hivi umeelewa ni nini hicho hapo pichani? tuanzie hapo:wacko:
Mhitimu wa chuo kikuu huyo, mtaalam wa sheria!! Tunamtegemea kwenye mikataba ya raslimali zetu, na ushauri kupata katiba bora. Wengine mapovu yanawatoka kwa matokeo mabovu ya sekondari, eti mfumo.... Hivi mama Ndalichako angefanya nini? Kisia amehitimu chuo gani. Wapo walioanzisha chuo ili kupambana
Hata mimi sijamsoma kabisa huyu mdau aisee
mke mwenza ukiangalia hiyo sub title hapo chini ndiyo mleta picha alitafsiri kutoka hapo akafanya kichwa cha habari... ni movie za kibongo na subtitle zao
Hapo chini ya picha kuna maandishi,hayo maandishi ndio mada yenyewe!!!!Mke mwenza picha nimeelewa ila sijamuelewa huyo mdau uliyemkoti hapo juu
ahahahaha, niko west africa napambana na ebola bwana. afu usini-quote tena ntakuambukiza.
cc Don Mangi, hii kesi ya avatar sijui tunaimalizaje, mweeh
Hahahaaa,hapo itakuwa mahaba niambukize mweee...
mpaka uirudishe ile nyingine.unarudi llini ex-mpenzi tuje kupasha kiporo karibia kinachacha huku....
Kweli uko huko????? Khaaa na hizi quote zetu je????
Hata mimi sijamsoma kabisa huyu mdau aisee
Mke mwenza picha nimeelewa ila sijamuelewa huyo mdau uliyemkoti hapo juu
Mbona umekuwa mpole hivyo aisee charminglady?