King ujue mimi sasa hivi nashindwa ku-concentrate kwenye kile unachoposti. Hiyo avatar ni mauaji ujue.hahaha. rais wenu alishawahi kusema we are manufacturing primary school teachers. lugha ya meli hiyo saa zingine ulimi unatrezzaaa
Huwa nashindwa kushangaa mkufunzi wa chuo kikuu anapoitwa 'lecture'
hahaha. rais wenu alishawahi kusema we are manufacturing primary school teachers. lugha ya meli hiyo saa zingine ulimi unatrezzaaa
Huwa nashindwa kushangaa mkufunzi wa chuo kikuu anapoitwa 'lecture'
Mhitimu wa chuo kikuu huyo, mtaalam wa sheria!! Tunamtegemea kwenye mikataba ya raslimali zetu, na ushauri kupata katiba bora. Wengine mapovu yanawatoka kwa matokeo mabovu ya sekondari, eti mfumo.... Hivi mama Ndalichako angefanya nini? Kisia amehitimu chuo gani. Wapo walioanzisha chuo ili kupambana
Yaani eti huyu ana digrii ya sheria. Hii nchi bwana
Juzi kati napata kamradi mbuzi kwa prof wa chuo kikubwa mjini hapa ambacho wa makondeko wanajiona wana mikosi wasipopata nafasi ya kujinga hapo...ipotezee! Kimbembe ni pale nilipotambulishwa kwa bashasha na 'ndugu Prof' kwa mkewe kwamba ''huyu ni architecture' instead of architect....
kamwimbo=kawimbo.kuna kamwimbo kanamaneno yanayosema "nchi ya kitu kidogo..."
King ujue mimi sasa hivi nashindwa ku-concentrate kwenye kile unachoposti. Hiyo avatar ni mauaji ujue.
:fish::fish::fish:
Hii habari gani tena king'asti.:fish::fish::fish:
kawimbo=kanyimbo
Et "
my proffnl is a loyer"-sub title.
Naomba turudishie avatar kwanza