Kitaaluma mimi ni mwanasheria

Kitaaluma mimi ni mwanasheria

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,714
loyer.jpg
 
mwe!!!,bongomuvizi,bongomuvizi!!.sisemi kitu.
 
Wasiojua kiswahili wanaangalia haya maigizo kweli? Sioni umuhimu wakuweka subtitles
 
Mhitimu wa chuo kikuu huyo, mtaalam wa sheria!! Tunamtegemea kwenye mikataba ya raslimali zetu, na ushauri kupata katiba bora. Wengine mapovu yanawatoka kwa matokeo mabovu ya sekondari, eti mfumo.... Hivi mama Ndalichako angefanya nini? Kisia amehitimu chuo gani. Wapo walioanzisha chuo ili kupambana
 
hahaha. rais wenu alishawahi kusema we are manufacturing primary school teachers. lugha ya meli hiyo saa zingine ulimi unatrezzaaa

Huwa nashindwa kushangaa mkufunzi wa chuo kikuu anapoitwa 'lecture'
I am a 'graduation' of big University downtown...kantangazeeee!
 
hivi umeelewa ni nini hicho hapo pichani? tuanzie hapo:wacko:
Mhitimu wa chuo kikuu huyo, mtaalam wa sheria!! Tunamtegemea kwenye mikataba ya raslimali zetu, na ushauri kupata katiba bora. Wengine mapovu yanawatoka kwa matokeo mabovu ya sekondari, eti mfumo.... Hivi mama Ndalichako angefanya nini? Kisia amehitimu chuo gani. Wapo walioanzisha chuo ili kupambana
 
zinaangaliwa huko africa magic. hujawahi kuona mtu msomi kabisa anaangalia yale mamovie ya kinaijeria na anajua waigizaji wote kwa sura na majina?
Wasiojua kiswahili wanaangalia haya maigizo kweli? Sioni umuhimu wakuweka subtitles
 
Back
Top Bottom