KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

Ukiitwa Mswahili Maana Yake ni nini ?-Kikwete
Ni kweli baada ya kumchafua Salim A. Salimu anampa nafasi kamati kuu,baada ya kumuwanika Salimu kuwa ndiye aliyehusika kumuuwa Rarume kwenye magazetila mwananchi wakati wa kampeni 2005.

Maana yake ni mTanzania; hata yule asiyejua kiswahili.
 
..ukiitwa mswahili,maana ziko nyingi!ya muhimu kabisa iko katika hii formula,
..mswahili = mbabaishaji!
 
bipartisan-
a cooperative effort by two political parties

Checks and balances
the system for deviding power among the three branches of the government in such a way that no one interferes the other

Coattails
the influential power of a popular candidate to gather support for other candidates in his or her party.

Demagogue
a leader whose impassioned rhehotoric appeals to greed,fear and hatred

fence mending
what politicians do when they visit their electoral districts to explain an unpopular action

fishing expedition
an investigation with no defined purpose, often by one party seeking damaging information about the other

incumbent
a current office holder

Front burner
where an issue is placed when it must be dealt immediately

left-wing
the liberals

Muckraker
the jounalist who seek out the scandelous activities of the public official

Photo-op
taking pictures just for a news on an event

Pundit
a political analyst, comentator,or columnist who usually works for a newspaper or magazine,or broadcasting.

swing vote
the undecided,usually independent portion of electorate that can swing the outcome of an election in one way or another.

Stump
to campaign in person on a local level.

Trial ballon.
an idea a politician suggest inorder to observe the reaction
 
Babu Kubwa Na El Na Jk Je??he Kumbe Kuna Ra Nilisahau
Kamusi Hizo Wana Jf,,
 
Mara Nyingi Inatumika Wakati Wa Kuchat Haswa Katika Irc Badala Ya Mtu Kupiga Kelele Ya Kucheka Au Kufurahia Kitu Anakuambia Lol

Pia Kuna Vifupi Vingi Vya Maneno Haya
 
Mimi sielewi BTW, na ASAP zina maana gani?

BTW: By The Way
ASAP: As Soon As Possible
JK: Jakaya Kikwete
RA: Rostam Aziz
EL: Edward Lowassa

Walau nimejibu maswali kadhaa. Hizo ni abbreviations ambazo unaweza kukumbana nazo hapa JF. Jaribu kuzichukulia hivo hapo juu
 
LOL maana yake ni Kuangua kicheko, husomeka "Laughing Out Loud".Kama mtu amekufurahisha sana wakati unachat unaweza kutumia LOL kumuonyesha umefurahi mno kwa kuangua kicheko cha nguvu.
 
Waungwana heshima mbele. Mimi natatizwa na baadhi ya maneno ya maneno. Napenda kujua kwa kiswahili sentensi/maneno haya tunasemaje, MONOPOLY, A COUPLE OF TEN/HUNDRED/THOUSANDS, na GO FO THE JUGGULAR.......Ni aibu sana kusema nayaelewa lakini siwezi kuyatamka kwa kiswahili, shame one me naomba msaada.
 
Back
Top Bottom