mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,652
- 1,238
Hii ganda la mua la jana chungu kaona kivuno mimi sjui inamaanisha nini,naomba mnifasirie sababu nimeiona na kuisika muda mrefu lakini sijui chungu ninani na kivuno ninini,sawa na ridhiki mafungu saba,mi nafuatisha semi tu kakini sjui maana.Nisaidieni jamani!Haba na haba hujaza kibaba
Adhabu ya kaburi aijuaye maiti
Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno
Heri kufa macho kuliko kufa moyo
Mwamba ngoma ,ngozi huivuta kwake
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri