Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Kwanini unatoa hukumu wakati mtuhumiwa bado huko mahabusu??kama kuna ndugu wengine kwanini mama alikua anamlilia kabendela?
 
Hamna kesi hapo bali kinachofanyika ni kumkomoa kisa ni mkosoaji wa rais. Mahakama inatumika kama sehemu ya kukomoa watu wanaoikosoa mamlaka
True at the end utasikia DPP msukuma Hana nia ya kuendelea na kesi kwa maagizo toka juu.
Mama yake kamuombea msamaha,yeye mwenyewe ameshaomba msamaha.
Kama tusipowasamehe wanaotukosea Mungu nae atotusamehee makosa yetu.tuna haja gani ya kusali sala ya Baba yetu uliyembinguni....tunasali bure ili tuwaridhishe wanadamu.Wabakaji,wahujumu wamesamehewa ni kosa gani gumu kubwa tushindwe wasamehee wanaotukosea? Then tunajiita ni educated na civilized,anyway hata akikaa ndani 20 yrs ushahidi haujakamilika imetusaidia nn binafsi,je imetuongezea siku za kuishi?
 
Mara nyingi haya matukio huwa yanagusa public interest, hivyo mahakama inatoa uamuzi mdogo kulingana na hali halisi ilivyo, hii ni bila kuathiri maamuzi ya baadae ya mahakama. Huwezi kutangaza tu kuna mkulima gani leo yupo rumande aliefiwa na mama yake aruhusiwe akamzike, bila hata kwanza kufahamu km huyo mkulima yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mara ya kwanza kwa kila kitu. Na bila kujaribu huwezi kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa, yalikuwa yanamkuta ya Azory
 
Kwa civilized society sheria ubadilika kulingana na wakati pia kulingana na mazingira.Possible mfungwa au mtuhumiwa kuwezapewa mda wa kumzika mpendwa wake,jela ni ya wote,yeyeto kuanzia raisi hadi mpiga debe anawezaingia.
Hizo sheria zinazobadlika unazisema za nyumban kwenu au?
Kama jambo hulielewi bora ukae kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaneni na Hadithi za Mungu. Kumuachia Mungu ndiko kunayafanya madikteta yaendelee kupeta tu..Mungu kawapa akili na utashi ili msimwachie yeye Mambo yenu ya Kikaisari, myatataue wenyewe.
 
Kukosoana ndo ubinadamu sababu atuko sawa kimtazamo vingine watawala wawe wanapotezea wachukulie sawa na mwanao amekukojolea,siasa za chuki na visasi huwa hazina mshindi kumbuka sote tunaishi nyumba za vioo,madaraka ni sawa na siti ya daladala ukifika kituo chako lzm utashuka tu.Kuwa mtawala si kwamba wwe ni bora kuliko watawaliwa siasa ni upepo,kesho wanakalia siti wengine uliowatupia mawe je nao wakutupie mawe.Kovakova amewahi mkimbia Gwajima walipokutana supermarket sababu ni raia wa kawaida hana mamlaka hana madaraka.
 
Hata kama unyama huu upo katika nchi nyingi haiwezi kuwa ndo justifiation…!Huu ukaburu lazima upigwe vita kwa nguvu zote!
Mkuu ni ngumu sana, hata hao wanaohubiri democracy haifwati ila wanachofanya ni kuhakikisha wananchi wao wanafedha hawalii njaa. Unajuwa kiongozi akihakikisha wananchi wake wanamaisha mazuri yaan Huduma zote muhimu anawapatia maji, umeme n.k uchumi mzuri huyo kiongozi hata akiwa dictactor wananchi hawatalalamika
 

Unasemaje kuhusu Marehemu Muamar Qaddafy wa Libya??
 
yaani ma-CCM yamesababisha kifo cha mamaake na kabendera alafu wanamkatalia asiende kumzika, hahaaaaa siku yao itafika tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…