KISUTU, DAR: Kesi namba 457 (Jamhuri dhidi ya JamiiForums) yaendelea - Shahidi wa Pili atoa ushahidi wake

Hawa polisi wana expansion joint kweli

IMG-20171207-WA0042.jpg
 
Akili ndogo inapoondolewa na akili kubwa popote lazima kuwe na friction.

Friction, kama msuguano ni mkubwa vya kutosha, lazima isababishe heat.

Heat lazima itataka kuunguza kitu.

Hizi ni kanuni za asili, si kanuni za Al-Watan.
 
HUYO SHAHDI NAYE KILAZA, KAULIZWA UNAIJUA KESI ILIYOKUWEPO MAHAKAMANI, ANAJIBU HAJUI, SASA MAHAKAMANI KAENDA KUFANYA NINI? JPM FUKUZA HAWA WATU RUDISHA WENYE VYETI FEKI, HALAFU HUYO SHAHD HUENDA KAFOJI CHETI, HAIWEZEKAN AWE MWEUPE HV KAMA THELUJI.



wengi wa hao polisi wamechoka na CCM wapo hapo kwa ajili ya njaa tu
 
Back
Top Bottom