Miye yananikumbusha ENZI za Wakili Msomi Murtaza Lakha...Haya maswali huwa yanaonesha uwezo wa mtu kufikiri.
...Kama nyufa za majengo/mabweni yaliyojengwa kwa mwendo kasi huko nDasalamu..Duh! haya maswali yanaweza kufanya joints za mtu zika-expand ghafla!!
hahahaaaaa,mkuu umemaliza kila kitu hadi tupeleke mawakili wa kukodishwa ndio irudi.Polisi weupe sana, kwahiyo sampuli ya hawa ndiyo walitegemea wakifika Canada ile ndege itarudi?
Mtobesya: Kwa hiyo taarifa ulizokuwa unazitaka zilikuwa kwenye mtandao?
Shahidi: Ndiyo
Mtobesya: Naomba niishie hapo
Wakili wa Jamhuri: Uliwahi kupata majibu kutoka uongozi wa JamiiForums?
Shahidi: Sikuwahi kupata
Kesi itaendelea kesho..
Kesho ni kesho na leo ni leo mkuu..!Kesho si leo au??
Yaani Bado Kabisa Kabisa,Kwakweli police wetu bado sana.
Hahaaa nimecheka sana, mi nahis hata IQ test ziwe zinapimwa mahakaman, hamna kaz ngumu kama kupangua maswali yanayokuja kama mvua, unaweza umwambie wakili hayo maswali yote yanayokuja majibu yake sijui, ukileta utani unaweza ulizwa umekuja kufanyaje hapa mahakamani useme sijui