KISUTU, DAR: Kesi namba 457 (Jamhuri dhidi ya JamiiForums) yaendelea - Shahidi wa Pili atoa ushahidi wake

Hujui kwamba ulipaswa kuiomba mahakama ikupe mamlaka ya kupewa information ulizozitaka?
Shahidi: sijui.

HILI NDIO LANGO KUU LA USHINDI Maxence Melo hoyeee
JamiiForums hoyeee

Inawezekana anajua sana lakini tatizo ni utekelezaji wa maagizo toka ↑
 
Kikifika kipengele cha dotcom naomba JF mniite niwe shahidi.

Swali langu la kwanza kwa Polisi je mnaufaham mtandao au blog inayojurikana kama
www.millardayo.com ?

Huwa nacheka sana kwa hiyo facebook , yahoo, Gmail watapigwa marufuku. Inawezekana Expansio joinjts za kwenye vichwa vya baadhi ya watu ni kubwa sana sema hatuzioni
 
we unategemea nini pale form 4 zero brain anapoulizwa maswali na Wakili msomi Llb holder!
 
Kwa kweli inasikitisha pale mtoa taarifa anapogeuka mtuhumiwa namba moja wa uhalifu, so sad na Tanzania yangu
 
Mipolisi inasukumwasukumwa tu kama ng'ombe inakubali. Sijawahi kuona nchi yenye mipolisi mi22sa kama tanzania.
 
Polisi wetu wanafanya kazi kwa mzoea. Kwa hayo maswali ya mawakili, wamepotea
 
Tunasafarj ndefu sana na mapolisi wetu HAWA.

Yaan polisi mzima na mkuu wa cybercrime hujui wajibu wala majukumu yako kushughulikia uhalifu.
Hayo maswali yanakuja ki technical sana ukiwa na elimu ya kuungaunga kama hawa ndugu zetu polix lazma ujae kingi......

Siku nikiambiwa nikatoe ushahidi sehemu kama hizo lazma nile kona, kuaibishana tu
 
Ukisikia Civil Servants wanavyopenda poteza muda na resources za dola, mfano wake ni huu!
Bure kabisa...Wataaibika na sidhani kama watarudia tena kufanya upupu huu..!
 
Back
Top Bottom