Ina maana hawa waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu huwa hawa shawishiki kupigia kura upinzani?Mpaka wapatikane wapika kura wapya?
Kwa maaana hiyo Chadema katika movement zake imeshindwa kushawishi wapiga kura waliopo sasa kukipa kura?Wameweza kata 3?Harakati na operaion kibao za miaka miwili wamefanikiwa kata 3 mpya?Je miaka 3 ijayo mpaka kufikia uchaguzi ujao kata ngapi zitaongezeka?Ubunge je?Urais?
Ikumbukwe walizungusha makamanda wao wote kwenye maeneo yote yaliofanyika uchaguzi!Dr.Slaa na viongozi wote !
Chadema watulie wajipange,wajitulize kusonga mbele!
Ngonini mbona Bawacha ilishakufa siku nyingi tu? Chadema wana Bavicha tu.
I see!!..... wewe ni bonge la Analyst na ni kweli ni Tanzanite Member, nilikuwa sijui kwamba Joshua Nasari ni mbunge wa CUF na Jeremia Sumari alikuwa Mbunge wa Chadema baada ya kifo chake Chadema ikanyanganywa jimbo. Good Analyst.Ina maana hawa waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu huwa hawa shawishiki kupigia kura upinzani?Mpaka wapatikane wapika kura wapya?
Kwa maaana hiyo Chadema katika movement zake imeshindwa kushawishi wapiga kura waliopo sasa kukipa kura?Wameweza kata 3?Harakati na operaion kibao za miaka miwili wamefanikiwa kata 3 mpya?Je miaka 3 ijayo mpaka kufikia uchaguzi ujao kata ngapi zitaongezeka?Ubunge je?Urais?
Ikumbukwe walizungusha makamanda wao wote kwenye maeneo yote yaliofanyika uchaguzi!Dr.Slaa na viongozi wote !
Chadema watulie wajipange,wajitulize kusonga mbele!
MMK, wakati unaandaa mwendelezo naomba haya:-
(a) CDM 2010 walipata kiasi gani cha kura ktk kata zote(29) za jana na pia uchaguzi huu wamepata kiasi gani.
(b) Idadi ya wapiga kula(ktk kata husika) 2010 na 2012, kwanini wameongezeka ama wamepungua.
(c) Tupe maoni yako binafsi kwamba, ikiwa daftari la wapiga kura lingeboreshwa matokeo yangekuwaje na sababu pia.
Let say tuwawajibishe viongozi wa juu kwa kuwatimua(napendekeza hivo), tupe mapendekezo yako ni nani awe nani.
Nguvu ya Umma ya Chadema ipo wapi.
Mzee Mwanakijiji
Mkuu,
Tathimini yako na wengine kwa haraka haraka ni rahisi kukurupuka kuwa Chadema kimeshindwa...
Hatuna sababu ya kuwa wakali wala kutafuta sababu, uzuri wanachadema tunazijua sababu,
Kwa hili ungewashauri CCM, wajitadhimini na waje na sababu kwa nini wanazidi kuporomoka...uchaguzi huu wamepoteza viti 3 vya udiwani...Chadema tumeongeza, sasa sijui nani aje na hizo sababu...
Mkuu MMK, kama Tanzania tungekuwa na Democrasia ya Kweli...Nami ningeungana nawe, kuwakosoa na kuwaponda viongozi wetu, lakini kwa jinsi uwanja wa demokrasia ulivyo, CDM wamejitahidi sana,, nikuulize kidogo tu...
1. Unafahamu kuna kesi ngapi zinazowakabili viongozi wakuu wa CDM mpaka sasa?
2. Kesi ngapi kwa mashabiki na wapenz wa Cdm mpaka sasa?
3.Kuna mashabiki wangapi wa CDM wamekufa mpaka sasa?
4.Kuna walemavu, wagonjwa, walioteswa wa CDM mpaka sasa?
MzeeMwanakijiji, Tanzania ni zaidi ya ujiavyoo..., Chadema tunawapongeza sana tena sana, endeleeni viongozi wetu tupo nyuma yenu.
Go extra mile, ulize, hizo kata zingine ambazo CCM wameshinda, Je! ni kwa Tofauti ya Ngapi? pia Linganisha na 2010, ndio uje na Tathimini ya M4C...Siyo kubwabwaja bwabaja tu bila figure!M4C ndio imezaa kata 3 kweli kazi mnayo.
KABLA ya uchaguzi
CCM ilikuwa inatetea kata 27 ni sawa na 93%
CDM ilikuwa inatetea kata 2 ni sawa na 7%
BAADA YA UCHAGUZI
CCM wamepata kata 23 ni sawa 79%
CDM wamepata kata 5 ni sawa 17%
TLP wamepata kata 1 ni sawa 3%
Je ni nani kapanda na kushuka?
KABLA ya uchaguzi
CCM ilikuwa inatetea kata 27 ni sawa na 93%
CDM ilikuwa inatetea kata 2 ni sawa na 7%
BAADA YA UCHAGUZI
CCM wamepata kata 23 ni sawa 79%
CDM wamepata kata 5 ni sawa 17%
TLP wamepata kata 1 ni sawa 3%
Je ni nani kapanda na kushuka?
Siku zote nasema humu, 2015 its do or die for both CCM & Chadema!.
Pasco.