Kisingizio: Daftari la Wapiga Kura, vyombo vya dola. Sababu?

umekasilika watu kusoma biblia kama vile ni mali ya kanisa !!! programming itawamaliza

Nikasirike ya nini wakati kuichukua na kuisoma ni kuikubali kwa njia nyingine.wangapia walisoma hawakurudi nyuma.jaribu waulizia wapakistani, afghnistan na Saudi Arabia muislam akikutwa na Biblia nini kinamkuta.Na atahitaji nguvu nyingi sana za kuwa convince kuwa hajaukimbia uislam huku akipigwa viboko.Sababu ya kuwanyima ni moja kuwa wakisoma wataijua kweli na kweli itawaweka huru.

programminig ipi inayozidi ya kaina ponda,wakiamua wamwaga njiani kama magunia mnaingia huku mkiwa hamjui nini mnachotaka achieve?leo mfumo Kristu, kesho baraza la mitihani,leo kuachia kwa Ponda.
 
umejianika rasmi hapo juu uprogramming wako . hivi uliwahi kufika hizo nchi ???

toa tongo kwa kusikiliza

L'histoire d'Yvonne Rydley(convertie à l'islam)-Entre les mains des Talibans!(Version intégrale) - YouTube

How the Bible Led Me to Islam: The Story of a Former Christian Youth Minister - Joshua Evans - YouTube
 
Nikafanye nini huko sasa?wewe unadhani nani atakayekwenda kama si kujifunza ugaidi? Hizo video zako za U-tube ni kwa ajili ya kukushikilia ktk uislam na kuwahadaa wazivu wa kufikiri ambao wamevutwa kwa hela au ndo na waislam.Ila si kwa ajili ya watu wenye akili timamu na wanaoujua uislam.

Kwako hiyo ndio habari ya matumaini,kwangu mimi ni tofauti sana.
 
Ngoja nikuulize swali hivi kweli una dreams siku moja Tanzania itaongozwa na Chadema.
 
kwanini mlishawahi amini nyie?Hata kuaminiana hamuaminiani nini mingine sasa?Hata mwl alipokuwa akipambana kifikra kuleta uhuru alikuwa akikutana na vikwazo kama CDM wanavyovikuta leo.Always mnajaribu tafuta best way ku readjust na maisha ya kushindwa.Kwa vile kila excuse inawafaa.

Kwa taaifa yako hata CDM ikivunjika leo ,bado nchi itakuja shindwa kwa chama chenye fikra za CDM.
 
Nikafanye nini huko sasa?wewe unadhani nani atakayekwenda kama si kujifunza ugaidi? Hizo video zako za U-tube ni kwa ajili ya kukushikilia ktk uislam na kuwahadaa wazivu wa kufikiri ambao wamevutwa kwa hela au ndo na waislam.Ila si kwa ajili ya watu wenye akili timamu na wanaoujua uislam.

Kwako hiyo ndio habari ya matumaini,kwangu mimi ni tofauti sana.

hizo pesa uliwapa wewe au babu yako ???

L'histoire d'Yvonne Rydley(convertie à l'islam)-Entre les mains des Talibans!(Version intégrale) - YouTube

How the Bible Led Me to Islam: The Story of a Former Christian Youth Minister - Joshua Evans - YouTube

watu kama nyinyi ndio wale amesema bwana Yesu kwenye MATH:13:13
 
kwanini mlishawahi amini nyie?Hata kuaminiana hamuaminiani nini mingine sasa?Hata mwl alipokuwa akipambana kifikra kuleta uhuru alikuwa akikutana na vikwazo kama CDM wanavyovikuta leo.Always mnajaribu tafuta best way ku readjust na maisha ya kushindwa.Kwa vile kila excuse inawafaa.

Kwa taaifa yako hata CDM ikivunjika leo ,bado nchi itakuja shindwa kwa chama chenye fikra za CDM.

fikra za viongozi wake zinazofikiri ngono tu na kutafuta wake za watu???
 
sidhani kama ulikuwa umaanisha hii posting ni ya hapa.

user-offline.png
Mahesabu

19th November 2010 14:16
#6
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 27th January 2008
Location : manzese
Posts : 2,836
Rep Power : 1113
Likes Received180
Likes Given599

[h=2]
icon1.png
Re: Ile Kesi ya Dokta Slaa iliishia wapi?[/h]
kweli hili ni jambo muhimu kujua......HAJAPATA TU KESHAANZA KUCHUKUA WAKE ZA WATU AKIPATA JEE.... SI ITAKUWA BALAA....!​
 
Back
Top Bottom