Kisingizio: Daftari la Wapiga Kura, vyombo vya dola. Sababu?

Kesho utasikia Dr Slaa anaita waandishi wa habari na kuwaambia Usalama wa Taifa wamengilia uchaguzi.
Alikwina, unajamba maputo tu, kati ya CCM na Chadema ni nani aliyepoteza kwenye uchaguzi huu? unadhani wana CCM wa Arusha akiwemo mlezi wao Steven Wassira wana amani muda huu? unafahamu kwamba CCM iko tayari hata kuuwa ili iweze kuidhibiti Arusha?
 
Mzee MM,
Ukifananisha mazingira ya Tanzania na yale ya Marekani, utakuwa kama unayejaribu kutafakari maisha kwenye sayari ya mars ilihali uko duniani. Watanzania ni watu wanaoimba mabadiliko kinadharia zaidi kuliko kivitendo kwa sababu ya hofu. Hofu ya mabadiliko ipo miongoni mwa wengi wa watanzania, watumishi serikalini, wafanyabiashara, wakulima, majeshi mbalimbali, woote wana hofu kubwa. Ndio maana kauli za "itakuwaje?, wote ni walewale, wanatafuta kula tu, n.k) ndizo zilizoenea. Haijawahi kutokea nchi ikawa na utawala wa chama kingine, wananchi wana hofu ya machafuko. Wenye mwamko wa mabadiliko ni wachache sana, inahitajika nguvu kubwa ya elimu na uhamasishaji kuhusu mabadiliko.
Kuhusu daftari, tume na vyombo vya dola ni sehemu ya tatizo la kimfumo linalozuia mabadiliko. Lakini mabadiliko yaja na ni lazima yatokee.
 
Kesho utasikia Dr Slaa anaita waandishi wa habari na kuwaambia Usalama wa Taifa wamengilia uchaguzi.
Safi sana Kilaza, umemuongezea agenda, vipi Nepi atasemaje? maana umeshakuwa mtabiri, tena zaidi ya Shekhe Yahaya, maana unajua mtu atasema nini kwa waandishi, well done Mtabiri!
 
Miaka mitatu yote hiyo mmeangaika sana mara Vua Gamba, Operesheni Sangara, M4C, Chopa kila mkutano hatimaye mmepata kata 3.
 
Nipe matokea ya Arusha Sheikh wangu, maana yule Mchumi namba moja Duniani alikuwa Arusha kuizika Chadema, mgombea wetu wa CUF amepata kura ngapi?

Kama kweli lengo lenu ni kuchukua nchi lazima matokeo haya usiyapokee kwa furaha kama mnavyopokea wewe na kitila, haiwezekani mje kifua mbele mnapongezana kisa kuchukua kata 3 za ccm!!!!
Interesting, kumbe lengo lenu ni kupata kata 3 . kweli M4C inafanya kazi
 
Utafiti wako si sahihi CDM ina wafuasi wengi walio hai kabisa,ila lazima tukubaliane na ukweli
toka baada ya uchaguzi mkuu hakuna up date ya daftari la wapiga kura unafikiri ni wafuasi wangapi
ambao before hawakuwa na mpango na siasa na kujiandikisha ambao wamehamasishwa na M4C?
wako wengi lakini hawana nafasi ya kupiga kura,na ndicho kitu ccm wanakitumia sana.

Nipe idadi ya watu ambao hawakupiga kura kwa kuwa hawapo katika daftari la wapiga kura.
Kaka kubalini KICHAPO cha mbwa mwizi na huu ni ujumbe tu.
ADC kwa maendeleo yako na taifa. Hhahahahahahahahaha
 
Alikwina, unajamba maputo tu, kati ya CCM na Chadema ni nani aliyepoteza kwenye uchaguzi huu? unadhani wana CCM wa Arusha akiwemo mlezi wao Steven Wassira wana amani muda huu? unafahamu kwamba CCM iko tayari hata kuuwa ili iweze kuidhibiti Arusha?
Mkuu huyu kilaza Ritz, hafahamu madhara ya CCM kuanguka Arusha, hafahamu hata Umeya unakuwa matatani, pia Mwenyekiti wake anaogopa jiji kuwa chini ya Chadema, na katika sehemu zote, CCM wametumia nguvu kupitiliza kata ya Daraja Mbili, kuliko kokote na wameshindwa, ila kwa kuwa huyu ni kilaza hawezi kufikiria vizuri..

Kwa matokeo haya mabovu CCM, kutakuwa na mpasuko zaidi...
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Kilaza, umemuongezea agenda, vipi Nepi atasemaje? maana umeshakuwa mtabiri, tena zaidi ya Shekhe Yahaya, maana unajua mtu atasema nini kwa waandishi, well done Mtabiri!

Mbona umekuja na hasira mpaka umepoteza muelekeo miaka mitatu mmepata kata 3 inabidi muongeze Chopa zingine 10 ili mpate kata 2 zingine uchaguzi ujao.
 
Miaka mitatu yote hiyo mmeangaika sana mara Vua Gamba, Operesheni Sangara, M4C, Chopa kila mkutano hatimaye mmepata kata 3.
Joshua Nasari ni Mbunge wa CUF, na Jeremia Sumari alikuwa ni mbunge wa Chadema Arumeru, kwahiyo kwamuda huu Chadema imenyanganywa jimbo. Hakuna ilichofanya Chadema, ili tunaipongeza CCM kwa kupoteza kata ilizokuwa inazishikiria.
 
Miaka mitatu yote hiyo mmeangaika sana mara Vua Gamba, Operesheni Sangara, M4C, Chopa kila mkutano hatimaye mmepata kata 3.

Join Date : 1st January 2011
Location : Republic of Nauru
Posts : 11,657
Rep Power : 8320
Likes Received3135
Likes Given300
Hiyo kata ya kwenu vipi? wameshinda CUF ama?
 
Mimi binafsi napataga shida na MM kwa nini conclusion yako huwa ni viongozi wa CDM kuachia
ngazi?Maana hata uchaguzi wa Arumeru Mashariki ulipendekeza hivyo.Je ni kweli hakuna ambayo
viongozi wa CDM wamefanya kwa ajili ya chama hata kuifanya CDM kujulikana nakukubalika na watanzania!? Kigezo
kwako kwa hawa viongozi kuwa wanajituma ni ushindi wa 100% tu!? Je ushauri huu umeutoa kwa JK ambaye
ameifikisha ccm na taifa hapo lilipo mara ngapi?hasa baada ya chaguzi zinazoendelea ndani ya chama? bila shaka
haya unayosema si visingizio bali ndio ukweli halisi.Hivi kama kata ina watu 5000 wanapiga kura watu 2000 huoni
kuwa ni tatizo!
 
Mbona umekuja na hasira mpaka umepoteza muelekeo miaka mitatu mmepata kata 3 inabidi muongeze Chopa zingine 10 ili mpate kata 2 zingine uchaguzi ujao.

Unataka nikujibu nini? soma hapa
Joshua Nasari ni Mbunge wa CUF, na Jeremia Sumari alikuwa ni mbunge wa Chadema Arumeru, kwahiyo kwamuda huu Chadema imenyanganywa jimbo. Hakuna ilichofanya Chadema, ili tunaipongeza CCM kwa kupoteza kata ilizokuwa inazishikiria
 
Joshua Nasari ni Mbunge wa CUF, na Jeremia Sumari alikuwa ni mbunge wa Chadema Arumeru, kwahiyo kwamuda huu Chadema imenyanganywa jimbo. Hakuna ilichofanya Chadema, ili tunaipongeza CCM kwa kupoteza kata ilizokuwa inazishikiria.

Chadema ni chama cha Kaskazini.
 
Mkuu huyu kilaza Ritz, hafahamu madhara ya CCM kuanguka Arusha, hafahamu hata Umeya unakuwa matatani, pia Mwenyekiti wake anaogopa jiji kuwa chini ya Chadema, na katika sehemu zote, CCM wametumia nguvu kupitiliza kata ya Daraja Mbili, kuliko kokote na wameshindwa, ila kwa kuwa huyu ni kilaza hawezi kufikiria vizuri..

Kwa matokeo haya mabovu CCM, kutakuwa na mpasuko zaidi...

Hakuna madhara yoyote labda kama mmeamua kujifariji na kujiliwaza.
 
Last edited by a moderator:
Nipe idadi ya watu ambao hawakupiga kura kwa kuwa hawapo katika daftari la wapiga kura.
Kaka kubalini KICHAPO cha mbwa mwizi na huu ni ujumbe tu.
ADC kwa maendeleo yako na taifa. Hhahahahahahahahaha

Mmh!!kubishana na wewe sawa na kubishana na kivuli,watu wa aina yako hawawezi kutofautisha kitendo
cha mtoto kukojolea juzuu na kuamua kuchoma makanisa kuwa ni vitu visivyo relate"
 
Join Date : 1st January 2011
Location : Republic of Nauru
Posts : 11,657
Rep Power : 8320
Likes Received3135
Likes Given300
Hiyo kata ya kwenu vipi? wameshinda CUF ama?

Naona umechanganyikiwa mpaka akili imehama mpaka unanipeleka CUF...Pipppoozzz Paawaaaa! Hakuna kulala mpaka kieleweke kimeeleweka tayari kata 3.
 
Mkuu REMSA,
Nami huwa nashindwa kumuelewa Mzee Mwanakijij, nadhani ataka watoke ili aingie yeye, kila wakishindwa conclusion watoke, mara sasa anataka majibu mbadala, sijajua tatilo lake< siasa za USA analeta Bongo, kila siku namwambia makamanda wanafanya kazi kubwa sana ukilinganisha, mfumo wetu na mazingira yalivyo Bongo, kwanzia sheria mpaka na kila kitu.

na MMJ anafahamu Tanzania huwa tuna Watawala na si Viongozi, so kazi inayofanywa na CDM si ya kubezwa hata kidogo ni ya kupongezwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Naona umechanganyikiwa mpaka akili imehama mpaka unanipeleka CUF...Pipppoozzz Paawaaaa! Hakuna kulala mpaka kieleweke kimeeleweka tayari kata 3.
Kwani hiyo kata ya Republic of Nauru diwani ni CUF ama CCM?
sie kama kawa tunasherehekea sana tena sana kwa kata5, CCM vipi?
 
Back
Top Bottom