Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Kisbo ni habari Nyingine, subiria mfike singida hapo ndo utaelewa vyema ikipita basi hamtaona limewapita tena ndo itakua imeisha ivo
 
Kumbe watu mnapenda mwendokasi!!!
ajali zikitokea lawama zote anapewa suka,anyway speed thrills but kills.Safari njema mkuu karibu Tanzania ila kuna joto kali sana
 
siku zingine panda Lushanga xpress, hyo tunaita ndege yahase
 
Mkuu unaweza kuwa umeingia cha kike labda ayo magari yapo mengi.Kipindi hiko dar to mbeya napanda happy nation saa11 jioni npo mbeya sasa HOOD kila safari linatupita siku niliyopanda nilijuta saa 5usk naingia mbeya
 
Route ya dar arusha ndio imekua ya kibwege hakuna gari linalokimbia tena...

Daima tutazikumbuka

Buffalo
Ngorika macedonia
Chakito longway
Meridian express
 

Kwani ww uliomba ushauri wa gari linalo toboa Mwanza to Dar au gari ambalo halipitwi na gari lolote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…