Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Kwahiyo unataka wapae sio! Jiandae kutoa ishuhuda wa mwendo kama utapona maana hamchelewi kusema speed ilikuwa kubwa mno!
 
Watu mko machooooo,,, Mm nimetoka na premier hapa nyegezi naelekea mbeya Duuuhh linapitwa tuuuuuuuu na vibas vya ajabu najutaaaaa
Kumbe uhujui mziki wa premier eeeeh...we subiri uone, SAA 3 mko Iringa hiyo km 970 toka Mwanza,afu ndo muanze itafuta Mbeya
 
nimeiona dar lux nyuma yetu hapa missungwi stand. sasa nataka nione kisbo vs dar lux. ikitupita na hii yaan ndo ntakata tamaa kabisa na kujiandaa kisaikologia kulala moro
Kwa kisbo dar utatoboa leoleo labda gari izingue njiani. Lkn kama mmeongozana na dar lux ile mpya DLF ikiwatangulia tu mtakutana nayo dar
 
nimeiona dar lux nyuma yetu hapa missungwi stand. sasa nataka nione kisbo vs dar lux. ikitupita na hii yaan ndo ntakata tamaa kabisa na kujiandaa kisaikologia kulala moro

We Jamaa unachekesha sana!!!

Ukifika moro tuwasiliane nije nikusalimie Msamvu.
Isije ukawa unaipigia debe Kisbo.
 
Mkuu kama utasikia mabasi yote ya nwanza yamelala Moro isipokuwa gari moja, basi hiyo gari moja itakuwa Kisbo. Wewe tulia mtoke shinyanga hakuna uchwara itawaona hapo
Unaizungumzia kisbo ya zamani sana ndg,kisbo sasaivi kichomi kizuri tu.
 
Nani ka kuambia mwanza dar fast jet n 150000 unajidanganya mchana kweupe
 
WATU BWANA, MWEZI WA MAHESABU HUU WEWE UNATAMANI GARI IKIMBIE?????
 
khaa! kuna gari inaitwa katagi nayo imetupita hapa hatujafika hata missungwi
Hao kisbo wamefungiwa sana na mwaka Jana sijui walifutiwa leseni lazima wabadilike

Hawawezi kuendeleza ujinga
 
Kumbuka huu ni mwezi wa December mwezi wa makafara

Ww tamani ligi ya spidi tu
 
Wala usiwaze kabisa mkuu unaingia dar leo leo hilo basi ni hatari usijali kuhusu kupitwa yatakutwa na yatapitwa yote.
Hivi we ni mdada eeenh!?...eti mejikuta tuu nataka kujua mkuu...samahani lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…