Benaire
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,962
- 312
Kuna mwanaume mmoja aliamua kusafiri na mkewe kwenda kuwaona wakwe zake.
Walipokuwa njiani gari likapinduka wakawa wamejeruhiwa na fahamu kupata mushkeli.
Mke: Mume wangu umekufa?
Mume:Kwani wewe umekufa?
Mke : Hata sijui?
Mume:Lakini kama ahera hapa,ngoja!
Kwa bahati akapita Trafiki jirani na majeruhi.
Mke: Akapiga kelele hatujafa nimemuona askari yule namfahamu!