Kisa cha Ashura wa Kahama

Kisa cha Ashura wa Kahama

Nkiki wawae hebu muulize Jiwe Linaloishi kama mimi si Polisi kweli...leka mangi!

Na hapo kwenye #teamBazazi , I thought I have been cleared already!
Mentor uichi ngikukosie sana
Mhhh Jiwe Linaloishi nae ni wale wale na kama ni polisi basi tukubaliane na Asha kuwa ni bazazi

Nani amekuclear kwenye #teambazazi maana ninayejua wamemclear ni Babu Dark City tuu wengine wote bado hamjarudisha membership card zenu

aahh mkuu mi kwenye ubazazi simo, wote nyie ni mapolisi na huwezi kuwa polisi bila kuwa bazazi tatizo mnazidia ujanja tu sababu ya mikoa mliyopo
 
Watetezi wangu nishawataja hapo juu wakiongozwa na miss neddy...muite huyo mwenyekiti wenu aje athibitishe hapa!


Watetezi wenyewe wa jinsia nyingine nina wasi wasi ---------- na ndo maana wanakuja kukupigia debe Nicas Mtei na Rogie ndo wanaweza kuthibitisha hili mwekundu hebu sema kama unakubaliana na utetezi wa Mentor
 
Last edited by a moderator:
aahh mkuu mi kwenye ubazazi simo, wote nyie ni mapolisi na huwezi kuwa polisi bila kuwa bazazi tatizo mnazidia ujanja tu sababu ya mikoa mliyopo

Jiwe Linaloishi ukitajwa na kiongozi wa #teambazazi ni lazima uwe na utetezi wa kutosha kujitoa huko sasa wewe taarifa hii haijitoshelezi kabisa
 
Last edited by a moderator:
hakuna jambo baya ambalo huwa naliogopa kama kumuwazia mtu baya.
kuna watu ni mahaodari wa kupima wenzao fuso kwa macho, wengine kubashiri wenzao ni wezi, malaya, ama sijui wahalifu kwa kuona tuu.
sijui kwann watu hupeneda kugeneralize ama kudraw conclusion ambazo ukweli wake pia juu ya wanavyoviwaza haupo.
 
my bro hapa mm ndo pamenifanya nishangae zaidi na sio kuduwaa hebu cheki nimepesti;

Maisha yaliendelea hadi siku nilipokutana na Ashura. Mtoto maashallah! Kitendo tu cha kutia macho yangu juu yake moyoni nilishawishika kuwa huyu ndiye. Ni katika wale mabinti ambao pamoja na kujisifu kote kwa ujuzi wangu wa kuongea na wanawake, ukikutana naye moyo unaenda moyo na kukosa maneno ya kusema…kigugumizi

kama sio kusingiziwa basi yaelekea ni.................? !
yeah ni kweli kabisa Kongosho ,,, hadithi ya Mentor ukiisoma kiundani ni 'utetezi' tu kwamba yeye sio #teambazazi
 
Hata sisi wa geshi ra wananchi mnatuchukuria kuwa ni maraya sana?

Nicas kuwa jeshi, polisi, lecturer, doctor and others sio kigezo cha umalaya!
Unaweza kuwa padri, pasta or shehe kutokana tu na kupenda vitu vyetu vile ukawa Professional bazazi kama Eiyer, KakaKiiza na hata Asprin! teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom