mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Last edited by a moderator:
kimtaani zaidi ndo vipimo vyetu lakini in reality sioNishawahi kuwapima watu wengi sana kwa macho lakini hadi kesho wanadunda. Kutokuwa muhuni hakugarantii kuwa upo salama
Mimi hadi leo naamini mapolisi ni malaya sana, kidogo umenisaidia kuifuta akilini.
mwallu njoo huku.....halafu angalizo, mwallu ni mtawa, mi ni paroko wake...hilo la Paloma litakuletea shida kwa hao majamaaNkwela Kaizer, hebu muulize dada yako mwallu juu ya tabia yangu atakupasha vyema! Ukiwasikiliza kina KakaKiiza na Vin Diesel utapotea (wananionea wivu kwa kumuhamishia beach Paloma).
Generalisation ipo kwenye makundi mengi sana, hakuna watu nawahurumia wanvyosemwa vibaya kama wanafunzi wa chuo. Lakini kiuhalisia, wote wanauza?
Bado madokta, malekchara, wanasiasa, bila kusahau vigogo.
Afu ujue mie ninaumwa, natafuta doktare
Afu ninaumwa nahitaji ushauri plz.
Kisa hiki huyu jamaa anataka tuu ajitoe kwenye [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamBazazi]#teamBazazi [/URL] na wala hakimuondolei hilo Mentor hongera sana kwa kuwa mzima mpaka leo pamoja na kuwa "polisi"
ram, kama umeenda chuoni kihalali, huwezi ku sup wala kucarry, si ndio?
Mmmmh!!!!
Hahaha!!! what a coincidence.....haya anzisheni sredi basi loh 🙂
Yaani nikilala narusha rusha miguu angani, sijajua nina ugonjwa gani.