Kisa cha Ashura wa Kahama

Kisa cha Ashura wa Kahama

niko pembeni mama naangalia mtanange mie! nsije nkapigwa bure! wake za watu nyie sumu!

hahahahahaha Excel bwana ukijiweka kando utakuwa mla mifupa tu kama fisi
upigwe na nani uwanja mtupu watu washajilalia now
 
Last edited by a moderator:
ok neddy.. nikutakie maisha mema... ngoja niondoke, usiku ushaingia..

hahahahahahaha kumbe hii ndo dawa yako eeeeh mr lover lover
ngoja niwape tiba na wengine ili uokoke unapenda kubaniwa ukipewa bureeee wakiambia eeeeh nilikuwa nakutega tu
 
Mhhhhhh haukunaniliuu na ashura kweli wewe??
Hehehh team bazazi wanakubaligi basiii km wamo kwny team..,,,
 
images

@ Eiyer Unanicheka badala ya kunionea huruma!!
 
Back
Top Bottom