Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,792
Kuna bosi wangu, mkali sana ofisini na ukiona anatabasamu asubuhi ujue kuna ugeni utatembelea ofisi kwa hiyo anajaribu kutengeneza "mahusiano mema na staffs though ni ya muda mfupi....
Siku moja akawa na dharura nyumbani akaniambia niende kuchukua instruction,nikafika kabla ya muda, hamadi naku wife anampa makavu na jamaa kimya utadhani mtunza bustani, ndo nikaconlude userious wa nyumbani mwisho kwenye mlango wa ofisi na kwa mwanaume ambaye hana shida yoyote 'kiufundi' ni must awe bazazi even once katika life time!