jamani na wale wakwenye train sijui wanaitwaje ni balaaa dar mpka kgm au mza ni tabu tupu
Mabazazi wapo careful sana.....teh
Tatizo hili limekuanza lini?
Huenda miguu yako inakuwa haijalala wakati sehemu nyingine za mwili zimelala....
Nakushauri kabla hujalala funga kitu kizito miguuni ili ishindwe kabisa kunyanyuka...
Kongosho, huwa wanasema likisemwa sana kuna ukweli ndani yake! Hili suala la malekchara ni la kuliangalia kwa jicho la pili! Cc: Kaizer.Malekchara wengi wanatumia madaraka na nafasi yao kubamba wanachuo. Nimekutana na wanachuo kadhaa mazingira ya kazi wakilalamika kulazimishwa kufanya nao ngono. The bad thing walikuwa wameambukizwa magonjwa ya zinaa.
paroko Kaizer ile breakfast imeisha?
Hahaha!!! what a coincidence.....haya anzisheni sredi basi loh 🙂
Haswaa hao ni kiboko ya njiaTehtehteh.... wanaitwa ma'T-T' kama sijakosea
Hapa ulitaka kutuma ujumbe gani kwa #teamBazazi ? Akina Mentor, Nicas Mtei na KakaKiiza?
tumekua tunaambiwa tukae mbali na mapolisi,wanajeshi,madreva wa magari makubwa na madaktari wa magonjwa ya wanawake.. ...na juzi juzi tu nimesikia wanaume wanaoishi dar wengi ni wahuni...na ni hatari kwa afya ya mwili na akili
lakini suala la afya na tabia ya mtu liko juu yake mwenyewe
umdhaniaye ndie sie na umdhaniae sie ndie ndio maana
lady jaydee na mwana fa waliimba ''alikufa kwa ngoma''..
Nani amekuclear kwenye #teambazazi maana ninayejua wamemclear ni Babu Dark City tuu wengine wote bado hamjarudisha membership card zenu
cheap propaganda....................
unafikiri hatujui subliminal persuasion au? .....
Kwi kwi kwiii, kumbe afande Mentor ni member? kweli busara za kwenye keyboard zinaficha mengi!..