Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,704
- 861,036
- Thread starter
- #1,961
Kuna reply yako moja uliandika herufi kubwa tupu.. Mbona umeifuta?Ninachoelewa tupo hapa kujuzana mambo ambayo ni mapya kwetu
Upande wangu kweny kuokoa jahazi bado saan kwan akil angu yenyew hii inahitaji vingi saan kutoka hapa ila ngoja niwepo hapa alaf ntatoa ninayoyafaham japo kidog