Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,563
- 152,041
Inabidi walale tu.Hahahaaaaa!!! Si kwa nondo hizi aise,sijutii kusoma sayansi!!
Kuna mercenary mmoja alivamia huu uzi juzi na kijipande chake cha quantum theory toka wikipedia,naona toka aseme anakwenda kulala hajaonekana mpaka leo.Sijui bado kalala!!
Mshana Jr, yuko wapi jamaa yako aliyesema amevurugwa na kipa wa Liverpool!?
Maana tukija kwenye kujibu hoja kwa hoja,kwa mantiki, hakuna anayeweza kupinga ukweli.
Na mimi nikionekana mjanja sana,mjuzi sana, mwerevu sana etc, napata sifa za bure.
Mini sifa yangu kubwa ni kusimamia ukweli, hata pale ambapo si mjuzi sana.