mtu watu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,123
- 1,617
Wewe mweupe kichwani mkuu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli bado wewe ni mwepesi mno.. Unashindwa kujibu vitu rahisi kabisa halafu unatafutaunatafuta
Umeulizwa kitu kingne unakuja na mada post zangu kwa lengo gani? ulipaswa kuniuliza nilipotoa post siyo kwa kuwa umebanwa na kutafuta pa kutokea unajihaibisha bure hapa, na watu wanakuchora unavyotapatapa.
Umeuliza akili ninazo au sina, nilitaka ufafanuzi wa akili maana yake ni nini, ili niweze kukujibu ndyo,hapana au sijui.
Akili ni nini?
Au akili zipi unaulzia, kama akili za kubishana sina.