Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

kwa msingi wa imani jinsi ulivyo " unamfanya yule anaye amini imani Fulani " amuone mtu asiye sawa kiimani na yeye nimtu aliyepotoka..."" Jews wanakuona wewe umepotoka " kutokana na misingi yao ya kiiimani na wewe waona vice versa dhidi ya imani yao pia...ndio hivyo ilivyo kwa budha wanavyowaona wakristo ama waislam ..ndio hivyo ilivyo kwa waislam jinsi wanavyo waona budha na wakristo pia" ...inshort habari hzi za imani huwezi kutenganisha na matakwa ya muwamba ngoma " kila mmoja huvutia ngozi kwake ..

May "take ,...kila mmoja abaki na imani yake aisee...as long as hakuna anayetishia amani ya mwenzie
Mkuu hilo ni sawa kabisa kwa sababu na linaleta maana,kwa sababu hauwezi ukawa unaamini mungu aliyeumba hadi wanyama halafu hapo hapo ukawa unaona anayeabudu Ngo'ombe nae ni sahihi.

Hata atheists pia huona kuwa wao ndiyo wako sahihi na wanaoamini mungu wamepotoka.
 
ooohh "" vyema sana "" kwahiyo sasa mmeahamia katika uhitaji wakutaka kujuana kiimani "" lakini baba wa taifa si alilikemea hili "" Mkuu mimi sina dini "" .....
Hapana mie sihitaji kujua imani yako,ila nilikukumbusha tu kuwa ulishawahi kuniambia kuwa wewe ni muislamu.
 
No wonder Kiranga amekwepa kiunzi, kumbe kama haumini uwepo wa mungu hauna akili!

No wonder Mshana cannot answer a simple question!

Kitu ambacho kuna wengine wanadaiwa kuwa nacho less than kuku? Hata ukiwa na uwezo tu wa kuvuka barabara utaambiwa una akili!😱

Akili ni nini is a good question from Kiranga

Mshana Jr jibu swali. 60 something pages yet you cant answer it? Or is it you're busted?
I have never busted... Why should I after all I asked a simple question but never be answered! Then through that question I asked I was asked another question which I answered ASAP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hilo ni sawa kabisa kwa sababu na linaleta maana,kwa sababu hauwezi ukawa unaamini mungu aliyeumba hadi wanyama halafu hapo hapo ukawa unaona anayeabudu Ngo'ombe nae ni sahihi.

Hata atheists pia huona kuwa wao ndiyo wako sahihi na wanaoamini mungu wamepotoka.
Utakuwaje sahihi kama unaamini Mungu anayejipinga mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaelewa kwamba hakuna utakachofikiri wewe leo ambacho hakijawahi kuwa nadharia ya wengine hapo kabla?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana mkuu hujanielewa vizuri ila ninachomaanisha ni kwamba ndani ya akili yako kuna uamini wa uwepo wa Mungu ambayo kila mwanadamu mwenye akili anakuwa nayo...Tatizo linakuja ni pale binadamu anapoanza kutafuta ushahidi wa kitu ambacho kiuhalisia kipo ndani ya akili yako na ndipo baadhi ya binadamu wakaleta nadharia tofauti tofauti wakiwa wanatafuta jibu ambalo lipo katika akili zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la kwamba nina akili nimelijibu kutoka kwa angalau watu watatu (sio Mshana), kwa mujibu wa definitions zao za akili.

Kwa hiyo, kwa upande wangu,swali hilo nimelijibu angalau mara tatu, kwa watu watatu tofauti.

Fuatilia mjadala.

Ila Mshana sijamjibu, kwa sababu hajaniambia akili ni nini.

Kati yangu na Mshana, mimi nimejibu swali mara tatu, Mshana hajajibu hata mara moja.
Hakuna uliponijibu mimi nimekujibu AKILI ni AKILI...
Nakuuliza tena una AKILI ama huna AKILI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo contraditions bado unasema unaambiwa yani bado unatumia nadharia ya watu wengine. Hapo umetumia akili kufahamu au kujua yale yaliyojadiliwa na watu waliopita kwa hali hiyo hutaki kuamini kile kilicho ndani ya akili yako.

Narudia tena mkuu uwepo wa Mungu upo katika akili yako na sio kutumia akili yako kujua uwepo wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Amasema ametumia akili yake ila amekwepa kujibu kama ana akili ama hana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana mkuu hujanielewa vizuri ila ninachomaanisha ni kwamba ndani ya akili yako kuna uamini wa uwepo wa Mungu ambayo kila mwanadamu mwenye akili anakuwa nayo...Tatizo linakuja ni pale binadamu anapoanza kutafuta ushahidi wa kitu ambacho kiuhalisia kipo ndani ya akili yako na ndipo baadhi ya binadamu wakaleta nadharia tofauti tofauti wakiwa wanatafuta jibu ambalo lipo katika akili zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ndani ya kichwa changu nikiamini mimi ni Donald Trump rais wa Marekani. Hapo hapo nakuwa Donald Trump rais wa Marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yangu simjui wala simuamini, sina pakuanzia kumjua na mambo ya kuamini sitaki.

Hapo vipi?

Baba yake Mungu unamjua au unamuamini?
Kumbuka nia yangu ni kutaka kujua na si tofauti wa kujua n kuamini na si vinginevyo.

Najibu swali lako kwanza kuwa mungu hana baba wala mama.

Umesema baba ako humjui wala humuamini,je kujua maana yake nini?
 
Hapana mie sihitaji kujua imani yako,ila nilikukumbusha tu kuwa ulishawahi kuniambia kuwa wewe ni muislamu.
katika ile comment yko " ya awali ulisema kama hujasahau "" means huna Uhakika "" so huwezi dhani kuwa labda ulinifananisha " ambaye alikwambia hivyo siye mimi ?
 
Back
Top Bottom