Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Alivyokuwa genius baada ya kuweka kifo akatuumbia kusahau maumivu ya kupoteza our loved ones kwa haraka sana.Kwa nini hiyo iwe choice yake, wakati inaumiza watu wengi sana wanaotenganishwa na wapenzi wao, ndugu zao etc?
Kwanini choice ya watu kuishi bila kufa ambayo isingeumiza watu na ina make sense kwa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote haikuwa choice yake?
Mungu anafanya recycling kwani anaogopa kuharibu mazingira?
Ndio maana hata uwe unampenda mtu vipi once akifa it takes a little time span kusahau yote na kurudi kwenye normal.
Anafanya recycling maana anataka Dunia iendelee kuwa sustainable.. Imagine kama angechafua mazingira bado ungekuja na point kwamba Mungu wenu ameshindwa hata kutunza mazingira..!
Lakini ndio nature ya binadamu wenye evil forces inside them..even if you cook your heart for them still they will complain you didn't put enough salt on it.
Divine energy of love is God. The jiiodi. (G.O.D)