Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Ukizionyesha as material things natoa Noah 2 kila kijiji kwaajiri ya usafiri wa wamama wajawazito mkuu.

Ninavyojua ni kuwa neno akili ni neno la kiimani ambalo halina uhalisia wowote ule
Na mara zote Kiranga huwa anasema hana tatizo na imani.
 
Tatizo dini zimeonekana kama biashara inufaishayo jamii chache,sasa haya kwa MTU aliyefundishwa Barabara kumhusu mungu na akiangalia yatokeayo anaamua kuamini mungu in porojo.mfano ukiwa na akili timamu ukayaona kwa uchache ayafanyayo na kuyaamua mmarekani dhidi ya mataifa mengine,unapata picha kwamba mungu in bosheni
 
Kinara mbishi asiyekubali kuwa kuna Mungu. Mbishi kwa viwango vyote unavyojua ila mwepesi wa hoja.

Kiranga sio atheist, kwa tafsiri rahisi atheist ni mtu asiyejua lolote kuhusu Mungu ama miungu (Hana ABC zozote kuhusu hizo imani za Mungu na miungu)

Kiranga sio mmojawapo. Kiranga ni mmojawapo wa wale waliokengeuka imani, walizaliwa katika ukristo wakabatizwa na kuishi maisha ya ukristo... Lakini along the way wakabahatika kusoma doctrines za kikristo, Mungu nk.

Ni katika hizo doctrines wakashindwa kukubaliana na vifungu kadhaa hivyo wakakengeuka na kuwa wapinga Uwepo wa Mungu mkuu.

Ni watu wenye elimu kubwa kuhusu dini hasa ukristo halafu wakasoma na doctrines nyingine zinazopinga uwepo wa Mungu na kuchagua kuyaamini hayo.

Kipengele muhimu hawa watu wasio waaamini ni kule kutaka wanachokikwepa ni kile cha kutotaka kutambua kuwa ishu za kiroho, Kimungu hazina ithibati za kisayansi.

Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?

Kwahiyo Kiranga anataka umuoneshe Mungu as if ni kitu solid. Kiufupi hawa sio atheists bali non believers!!!
Maandiko ya biblia yanasema "mpumbavu husema hakuna Mungu"
 
Hugo mtoto mchanga kwanini msimuache mpaka mungu mwenyewe amfunukie akamjulisha kwamba yeye mungu yupo,na badala yake mmemuandalia mavitabu na makaburasha kibao ya kumkaririsha
 
Kwahiyo huna hakika na aina ya akili ulizonazo?
Kabla ya kuwa na uhakika wa akili nilizonazo nipe maana ya akili.

Akili ni nini?

Kuna mtu katoa mfano wake kuwa mwenye akili ni yule anayeamini uwepo wa mungu, je kama siamini uwepo wa mungu ?

Akili ni nini?

Unapozungumzia akili una maana gani?
 
Kabla ya kuwa na uhakika wa akili nilizonazo nipe maana ya akili.

Akili ni nini?

Kuna mtu katoa mfano wake kuwa mwenye akili ni yule anayeamini uwepo wa mungu, je kama siamini uwepo wa mungu ?

Akili ni nini?

Unapozungumzia akili una maana gani?
Mmeshindwa kujibu swali la kwanza kwanini utake kuruka hatua?
Jibu swali una AKILI ama huna?
 
Mmeshindwa kujibu swali la kwanza kwanini utake kuruka hatua?
Jibu swali una AKILI ama huna?
Tumeshndwa wangapi?

Swali lako halieleweki haujalifafanua zaidi ndyo maana umepgwa swali ktk kujibiwa muundo wa swali.

Ulichouliza haukijui kukielezea, utawezaje kuelewa hata jibu ukipewa?

Akili ni nini?
 
Mungu tunaesema hayupo ni yule wa biblia na vitabu vingine vya dini.

Mungu huyu anaesujudiwa muumba wa nchi na mbingu.

Huyo ndio nasema wazi hayupo.

Ila ukisema Beyonce ni Mungu, sifa zake ni anaimba mziki, kaolewa na Jay Z, nitakuambia ndio Beyonce ni Mungu. Nitajibu hivyo kwasababu ya sifa ya Mungu alivyoelezwa kwa Beyonce
Hahaha nimewaza tu kwa mfano Jay Z angekuwa ameoa wanawake wawili na wote wanaimba,ina maana huyo mwanamke mwengine pia angekuwa na sifa za mungu kwa maana ameolewa na Jay z na pia mwimbaji.
 
Ni mkristo aliyejengeuka imani
Mazingira yake inaonekana amekulia katika jamii ya watu wa Pwani ya Tanganyika, ambayo ni jamii ya Kiislamu.
Baada ya kuanza na Imani ya Kiislam, aliweza pia kuvisoma kwa juu juu vitabu vya imani nyingine kama, Ubudha, Uyahudi, Ukristo nk, na bahati mbaya hakuvielewa vyote.
Kwani vyote vimeasisiwa na ama Mungu au miungu.
Yeye bado halijui hilo.
 
Back
Top Bottom