Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Na ww si huwa unapinga ama?
hapana "" mimi natambua uwepo wa Mungu "" ijapo kuwa sina hoja madhubuti za kumuelezea ambazo zitawza kueleweka na atheist"" sina hoja kwa sabbu " huwa naona hivi vitabu ambavyo vina muelezea huyo Mungu vikiwa na ujanja ujanja mwingi mnoo"" Muda mwingine mpka huwa nahisi kuwa baadhi ya sehemu ya maandiko Yke huwa yana msingizia Mungu mwenyew"" so hii ni mada tofauti kabisa na hii iliyopo mezani
 
Nahamia jamii intelligence
Karibu sana "" huku ni mwendo wa Nondo tu "" ukitoka Humu lazima ujione kuwa upo tofauti " tena utofauti wa mbali sana na kina Mwajuma nipe
 
Iko hivi
Kwanza wale wasio waamini katika Mungu mmoja wamekwepa sana sana kujibu hili swali kwakuwa wanajitambua wazi kuwa wanazo akili lakini kimbembe ni kuthibitisha! Na kamwe hawawezi kukwambia hawana akili... Hivyo hivyo ni sawa na uwepo wa Mungu! Yupo lakini huwezi kumthibitisha kimwili kama usivyoweza kuthibitisha akili ulizonazo japo zipo
Dunia ina pande mbili giza na nuru, juu na chini, kushoto na kulia VINAVYOONEKANA na VISIVYOONEKA...
Tunahisi, njaa kiu ama hamu ya kitu lakini hatuwezi kuvionyesha vikaonekana... Ila vinatulizwa na vitu VINAVYOONEKANA yaani chakula, maji nk
Kama tunakubali kuwa kila kitu duniani kina pande mbili basi tutakuwa wajinga tukibisha kama kuna upande wa pili wa dunia usioonekana na huu ndio ulimwengu wa roho, ulimwengu wa Kimungu usio na ithibati za kisayansi lakini upo
Kiranga, Mshana Jr kashajibu tayari akili ipi au ni nini uliyotaka kujua, baada ya majiibu haya wewe sasa unatakiwa ujibu kama una akili ama hauna, kwa vyovyote vile na kwa kutumia akili yeyote ile lazima ujibu, maelezo yanafafanua na yanajitosheleza kukuwezesha wewe kujua maana ya akili ni nini na kujibu swali.
 
@kiranga nae anapaswa kujibu akili ipi anayoielewa kwanza. Kasema anazijua nyingi
Kuna mtu kasema juu hapo akili ni kutambua uwepo wa Mungu, nikasema kwa definition hiyo sina akili.

Sasa mtu kama huyo, ukitaka kujibu swali kichwa kichwa, unaweza kuwa huamini Mungu halafu ume solve Poincare's conjecture yako huko, ukasema mimi nina akili, kumbe kwake usipoamini Mungu huna akili.

Ndiyo maana ni muhimu tuanze na definitions kama tunaandika insha.

Ndiyo maana nikauliza.

Akili ni nini?

Sijajibiwa.
 
Kiranga, Mshana Jr kashajibu tayari akili ipi au ni nini uliyotaka kujua, baada ya majiibu haya wewe sasa unatakiwa ujibu kama una akili ama hauna, kwa vyovyote vile na kwa kutumia akili yeyote ile lazima ujibu, maelezo yanafafanua na yanajitosheleza kukuwezesha wewe kujua maana ya akili ni nini na kujibu swali.
Wapi kajibu?

Anataka nithibitishe nina akili wakati yeye mwenyewe hajai define akili ni nini?

Anataka nimtafsirie ndoto, namuuliza niambie hiyo ndoto basi niitafsiri, umeota nini, ananiambia na ndoto niliyoota nayo niambie.

Eboo
 
Mitihani yenu huwa kuna definitions na swali hapohapo kama hilo?

Yani unaulizwa mbuni ni ......... Then unaulizwa unamjua mbuzi?

Sasa huo ni mtihani?
Hapana.

Kwenye somo kuna definition, halafu unapewa mtihani.

Hakuna swali la kitu ambacho hakijawa defined.

Halafu analogy yako ni mbovu.

Bora ungesema Mbuzi ni... halafu uulizwe una mbuzi?

If you want to draw an analogy, put some effort into it so it comes out right.
 
Mshana Jr sio tu kwamba hasemi akili ni nini? Hata ukiwapanga maprofesa wa vyuo unavyovifaham vinavyoheshimika hawatakupa jibu moja linalofanana la hilo swali kwamba akili ni nini.

Wengi tunachokiona ni matokeo au vitu ambavyo vinatufanya tuone akili inavyofanya kazi. Lakini ukisema akili kwenye jamii, watu wanakuelewa unachomaanisha.

Msiwabeze waliosema akili ni nywele kila mtu ana zake.
Ndiyo maana nikasema huyu anauliza swali kuhusu kitu ambacho hata yeye mwenyewe hakielewi.
 
Hata uwe na elimu au ujuzi kiasi gani ila ukibishana na mjinga atakushinda tu.

Kiranga amejikita kwenye kushinda mabishano tu kwa hali yeyote ile.
Kushinda mabishano si kitu kibaya.

Aristotle alishinda mabishano. Socrates alishinda mabishano. Galileo alishinda mabishano. Tycho Brahe alishinda mabishano. Copernicus alishinda mabishano.Newton alishinda mabishano. Einstein alishinda mabishano. Niels Bohr alishinda mabishano

Pinga hoja kwa hoja, si kubwabwaja viroja.
 
Mshana.
Ila mimi naamini kuwa Kiranga anabishana tu hapa jukwaani kuwa hakuna Mungu.

Ila kiuhalisia kwenye maisha yake anajua kuwa Mungu yupo na anasali kila siku.
Umenikumbusha darasa la falsafa nilikuwa nabishana sana na mwalimu, kuna msichana mmoja akawa ananiuliza, hivi wewe unavyobishana na mwalimu kuhusu Mungu hayupo, ni kweli unaamini hivyo au unabisha tu.

Nikamwambia mimi nasimamia vitu ninavyokubali, si mtu wa kusema kimoja wakati nafanya tofauti.

Yani kile kipindi niliki dominate mpaka ikawa naona vibaya mazungumzo yalikuwa ya moto sana halafu mimi na prof tu.

Mwisho wa semester akanitumia email anasema nisiende kwenye mtihani wa mwisho.

Nikajua tayari, kanifelisha. Nikamuuliza kwa nini? Akasema nimepasi ule mtihani.Nikamwambia atanipa maksi gani? Akaniambia A+ bila shaka, yale majibizano tuliyokuwa tunafanya darasani yalikuwa yamelipita lile darasa, lile darasa lilikuwa la undergrad halafu mimi nilikuwa naleta maswali ya falsafa ya grad school.

So I always rep what I feel.

Kauli yako imenikumbusha yule msichana. Alipata tabu sana kuamini kwamba mimi ninayosema yanawakilisha kilicho moyoni mwangu kabisa.
 
Kiranga hana lolote silaha yake huwa ni maswali badala ya kujibu anatoka nje ya mada wajanja tumeshamjua tunacheka kihutuuu
Tatizo ukiiona "Socratic Method" huwezi kuijua.

Unaona mtu anatoka nje ya mada.

Mshana ndiye aliyeleta swali la akili, mimi kumuuliza akili ni nini ndiye natoka nje ya mada?

Wakati Mshana ndiye kaleta swali la akili?

Socratic method - Wikipedia

The Socratic method, also can be known as maieutics, method of elenchus, elenctic method, or Socratic debate, is a form of cooperative argumentative dialogue between individuals, based on asking and answering questions to stimulate critical thinking and to draw out ideas and underlying presumptions. It is a dialectical method, involving a discussion in which the defense of one point of view is questioned; one participant may lead another to contradict themselves in some way, thus weakening the defender's point. This method is named after the Classical Greek philosopher Socrates and is introduced by him in Plato's Theaetetus as midwifery (maieutics) because it is employed to bring out definitions implicit in the interlocutors' beliefs, or to help them further their understanding.

The Socratic method is a method of hypothesis elimination, in that better hypotheses are found by steadily identifying and eliminating those that lead to contradictions. The Socratic method searches for general, commonly held truths that shape beliefs and scrutinizes them to determine their consistency with other beliefs. The basic form is a series of questionsformulated as tests of logic and fact intended to help a person or group discover their beliefs about some topic, exploring definitions or logoi (singular logos) and seeking to characterize general characteristics shared by various particular instances.
 
Mnahangaika na kiranga!! Yeye huwa always ana play character yake vizuri jf kwa kujifanya si mwamini.

Kwa sisi tunaomjua tunamuelewa. Anyway, ngoja niishie hapa.
 
Akili ni uwezo wa kuelewa, kujifunza na kuchambua mambo mbalimbali katika mazingira yetu na kuweza kupata ujuzi na maarifa ya kutuwezesha kuishi kwa ufanisi.

Ikumbukwe ni dhana pana, hiyo ni mojawapo.
Naweza kuelewa,kujifunza na kuchambua mambo mbalimbali katika mazingira ninayoishi.Enhe?
 
Back
Top Bottom