Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 349
Ukijifunza Jiografia utajua ukweli hasa.MaTsunami yanatokana na makosa ya binadamu???
Ukijifunza Jiografia utajua ukweli hasa.MaTsunami yanatokana na makosa ya binadamu???
Unavyosema poa unakua unamaanisha kua mfano wangu kuhusu kujua uongo wa kitu si lazima ujue ukweli wake umeuelewa??Poa.
Hili pia limeisha au kuna la ziada ?
Hapana,naonyesha kwamba nimekupuuza sababu unabishana na ukweli.Unavyosema poa unakua unamaanisha kua mfano wangu kuhusu kujua uongo wa kitu si lazima ujue ukweli wake umeuelewa??
Tumefikia hapa tena kuulizana maswali haya???For the purpose of learning: what is the definition of God?
Hayo mengine uliyoyanadi kua ni mazuri mbona umeyataja bila kuniambia nikajifunze jiografia??? Ulivyokua unasema ulimwengu na vilivyomo ni vinyoofu kwanini hukuniambia nikasome jiografia?? Hukujua katika vilivyomo ni pamoja na tsunami na matetemeko ya ardhi??Ukijifunza Jiografia utajua ukweli hasa.
Nakubali. Kisicho hai hakiwezi kuhoji.Kisicho hai hakiwezi kuhoji
Lakini hata kwa kuto kuhoji huko hakumaanishi kwamba hakina chanzo na aliyeumba hilo ghorofa hana chanzo
Unaweza kushindwa kujibu maswali ila huwezi kukubali kua hujui direct, una prefer njia ya vijembe kama hivyo ili kutoonekana umeshindwaHapana,naonyesha kwamba nimekupuuza sababu unabishana na ukweli.
Kama umekubali kua kisicho hai hakiwezi kuhoji, kwanini unahoji kua mimi nahoji kujua chanzo cha chanzo changu wakati mimi niko hai????Nakubali. Kisicho hai hakiwezi kuhoji.
Sasa, inakuwaje wewe uliyetokana na chanzo, unahoji chanzo cha chanzo; kama tu chanzo chako chenyewe hujakifahamu vizuri bado?
Jiografia umeweka wazi sababu hasa kwa nini kuna hayo majanga: kwanini yanatokea.Hayo mengine uliyoyanadi kua ni mazuri mbona umeyataja bila kuniambia nikajifunze jiografia??? Ulivyokua unasema ulimwengu na vilivyomo ni vinyoofu kwanini hukuniambia nikasome jiografia?? Hukujua katika vilivyomo ni pamoja na tsunami na matetemeko ya ardhi??
Kwaiyo jiografia imeweka mambo wazi ambayo mungu wako hakuyaweka wazi???Jiografia umeweka wazi sababu hasa kwa nini kuna hayo majanga: kwanini yanatokea.
Binadamu hawezi kutenganishwa na kutokea kwa majanga haya.
Uko hai ili kuhoji. Hivyo unahoji kwanini wewe uko hai na kwanini hivi haviko hai. Hapo tu, yaani chanzo kilichokufanya wewe uwe hai na hivi visiwe hai, hujaweza kufahamu bado, unahoji chanzo cha chanzo! Huoni huko ni kuchanganya na kutoelewa?Kama umekubali kua kisicho hai hakiwezi kuhoji, kwanini unahoji kua mimi nahoji kujua chanzo cha chanzo changu wakati mimi niko hai????
Maswali yako yanaonyesha kwamba hujajifunza Mungu ni nini? Ni hivi unataka kujua huyu Mungu ni nini hasa!Kwaiyo jiografia imeweka mambo wazi ambayo mungu wako hakuyaweka wazi???
Unataka kusema kuna mambo mungu aliyaficha yamefichuliwa na jiografia??
Lakini pia sayansi kiujumla imeelezea kwa uwazi namna ya chanzo cha ulimwengu hadi chanzo cha mtu je unakubali kua kilichosemwa na sayansi na
Unaweza kushindwa kujibu maswali ila huwezi kukubali kua hujui direct, una prefer njia ya vijembe kama hivyo ili kutoonekana umeshindwa
Namna pekee ya kukataa sayansi kwa kile inachokithibitisha, ni kutengua NADHARIA inayoongoza hilo jambo.Lakini pia sayansi kiujumla imeelezea kwa uwazi namna ya chanzo cha ulimwengu hadi chanzo cha mtu je unakubali kua kilichosemwa na sayansi na jiografia kua ni kweli???
Umefundishwa adabu na wasio na adabuMimi nilifundishwa adabu kwanza sijapewa elimu,jambo kama sijui huwa nakiri sijui. Ila kwa hili nimekupuuza na nina sababu nyingi za kufanya nikupuuze tena za kielimu,sababu moja nimeshakuanishia.
Kwaiyo sayansi inaongea ukweli??Namna pekee ya kukataa sayansi kwa kile inachokithibitisha, ni kutengua NADHARIA inayoongoza hilo jambo.
Kwa msingi huo, sayansi ina NADHARIA nyingi kumhusu Mungu: asili ya vyanzo vya vitu, ulimwengu na binadamu. Ziko Nadharia za Pantheism, Dualism and Manichaeism, Gnosticism, Deism na Materialism. Hizi zote zinakiri kuna asili ya vyanzo vya vitu, kila moja kwa namna yake, lakini kwenye eneo hilo hilo moja la sayansi.
Hao hao,mpaka leo hujawahi kuthibitisha ya kuwa Jiwe sio kiumbe,sababu misingi uliyo egemea haiwezi kulidiriki jambo hilo.Umefundishwa adabu na wasio na adabu
Hao ndio walikufundisha jiwe ni kiumbe hai??
Ukishajua haya ni mavi huna sababu ya kuonja ili kuthibitisha kwa hakikaHao hao,mpaka leo hujawahi kuthibitisha ya kuwa Jiwe sio kiumbe,sababu misingi uliyo egemea haiwezi kulidiriki jambo hilo.
Uko hai ili kuhoji. Hivyo unahoji kwanini wewe uko hai na kwanini hivi haviko hai.
Kwani kikwazo kipi kinachozuia nishindwe kupata jibu la maswali yangu???Hapo tu, yaani chanzo kilichokufanya wewe uwe hai na hivi visiwe hai, hujaweza kufahamu bado, unahoji chanzo cha chanzo! Huoni huko ni kuchanganya na kutoelewa?