Kiranga sio atheist ni non-believer

Maana ya Applied (of a subject) practical rather than theoretical. Ili tuseme hiki kitu ni applied ni lazima kiwe practical. Mpaka hapo unaweza kuona especially in this context (placebo effect)
Hujaelewa nimeandika nini, kibaya zaidi, huna hata utashi wa kuuliza.

Placebo effect inaweza ku apply kwa mtu, bila ya kuwa applied na mtu.

Kama vile mvua inavyoweza kumnyeshea mtu, bila kuanzishwa na mtu.

Sasa umechanganya madawa ukakosa kuelewa hili.
 
Kama vile mvua inavyoweza kumnyeshea mtu, bila kuanzishwa na mtu
Unaelewa huu mfano wako ulioutoa ni situation effect au activity effect. Unaelewa ili mvua inyeshe inahitaji vitu fulani viwepo. Yaani kunyesha kwa mvua hakuji pasipo kuwepo vitu fulani fulani, activity fulani.
Kwa placebo effect haiwezi kua- pply or applied ikitenganishwa na akili. Kwenye akili ndimo unatoka na ndimo chanzo cha placebo effect.
 
Kitu maana yake ni mtu?

Unaelewa tofauti ya kitu na mtu?
 
Mshana huwez pambana na Kiranga,we bado sanaa,u need to study many years atleast ubishane nae,this guy is extraordinary,

Kiranga nakudai kule PM aisee
Kumbe kuna mpambano hapa? Ukizisikia akili finyu ndio hizi... Mada nianzishe mimi halafu naendekea kushiriki kama kawaida... Wewe unakuja na mambo ya mipambano? Hapo ndio akili yako ilipoishia?
 
Wewe umeniuliza kama nina akili, hukuniuliza akili ni nini.

Mimi ili nikujibu vizuri, nataka unipe definition yako ya akili ili nisikujibu kitu tofauti na unachotaka wewe.

Kumbe, wewe unayeniuliza hujui unauliza nini.

Sasa mimi nitakujibu vipi ikiwa wewe unayeuliza hujui unauliza nini?
Perfect...mara nyingi wanaouliza hawajui wanataka kujua nini ? Akili ni nini? Intelligent quotient , level of decision making, brain wiring etc lazima aeleze anachotaka kujua sio kuzunguka
 
Kitu maana yake ni mtu?

Unaelewa tofauti ya kitu na mtu
Kama mtu, ndio ana ufahamu wa hiki ni kitu na huyu ni mtu. Kwa maana nyingine, hakuna ufahamu wa kwamba hiki ni kitu, isipokuwa kwa mtu mwenyewe.
Umesema, "kitu" kwa sababu ufahamu wako umetambua hiki ni kitu. Ukiangalia kwenye maneno yako ulioandika, utaona kitu kimesemwa au kimeandikwa na mtu, yaani wewe. Mpaka hapo hujajua maana ya "kitu" na "mtu"?
" unaelewa tofauti ya kitu na mtu"...Jinsi hii ukiichunguza ulivyoandika utaona kwenye hayo maandishi kuna kitu. Hiyo tu, kuelewa kwamba kwenye haya maandishi yako kuna kitu, ni mtu tayari.
 
Hujajibu ulichoulizwa na ulichojibu hujaulizwa.

Na hujaeleza inakuwaje kanisani kukosekane placebo effect.
 
Ukiweza kueleza placebo effect kwamba ni jambo linalopita sheria ya maumbile (sayansi) nami nitaeleza hapa inakuwaje kanisani hakuna placebo effect. Nitaeleza kinaganaga.
Kwa nini nielezee jambo ambalo sijawahi kulisema wala kulitetea?
 
Kwa nini nielezee jambo ambalo sijawahi kulisema wala kulitetea
Kwenye maandishi yako mengi, umesema sana Mungu. Ukisoma comments zako nyingi utaona umeandika Mungu, maana yake unasema Mungu. Ndiyo mjadala wetu hapa.
Nakunukuu " kwanini nieleze jambo ambalo sijawahi kulisema..." Mwisho wa kunukuu.
Ukirejelea comments na maandishi yako unayoandika humu umesema jambo hili, ambalo kimsingi ni Mungu- juu ya sheria ya maumbile (sayansi).
Sasa ungesema "SIJAWAHI KULIELEWA", hapo ningekuunga mkono. Na kwa sababu hiyo huwezi kulitetea. Lakini kusema, ..."sijawahi kulisema..."unaonyesha ulivyo mbinafsi na usieelewa unachotafuta kukielewa.
 
Umeandika.

"Ukiweza kueleza placebo effect kwamba ni jambo linalopita sheria ya maumbile (sayansi) nami nitaeleza hapa inakuwaje kanisani hakuna placebo effect. Nitaeleza kinaganaga."

Hujataja Mungu hapo.

Kwa nini unaniambia nieleze placebo effect ni jambo linalopita sheria ya maumbile, wakati mimi sijawahi kudai hilo?

Kwa nini unaniambia ni prove 1 + 1 = 3, wakati mimi sijawahi kudai 1 + 1 = 3 ?
 
Back
Top Bottom