Hapa umelazimisha Mungu awe jibu.Here is the answer to which you call and I quote "...intelligent young mind...", tell him/her go and see the oceans.
Kuna namn mbili za kujua kuna Mungu. Kwanza, ni Ulimwengu. Tell a young mind see the universe and creatures in it.
Pili, ni mwanadamu. Mwambie amtazame binadamu: yeye jinsi yake na ndani yake.
Tell a young one that, God created man with a free will. For that case, there are bad people and good people.How does one is simplest forms tell a young one that there is God? all loving , all powerful and this child has lost both parents to war, hunger , crime etc. etc.
Free will is a myth.Tell a young one that, God created man with a free will. For that case, there are bad people and good people.
Free will is a myth.
Nobody chooses parents, place of birth, date of birth etc.
These things are very influential in ones life.
Had Bill Gates been born in Tabora in 1946 as an African farmer, he would have hardly had a shot at being the world's richest man.
Nimeeleza sababu zangu za kusema it is a myth.Kwamba free will ni myth!!!! Unafurahisha sana....
Ni heri kusema free will and pre destination ni very controversial kiasi cha kukosa mstari stahiki wa kuvitenganisha.
Tuelewe kwanza, "Will", ni nini?Free will is a myth.
Nobody chooses parents, place of birth, date of birth etc.
These things are very influential in ones life.
Had Bill Gates been born in Tabora in 1946 as an African farmer, he would have hardly had a shot at being
Umekubali mtu haamui anapozaliwa, wanaamua wazazi.Tuelewe kwanza, "Will", ni nini?
Will is defined as a faculty by which a person decides on and initiatives actions.
Utaona kwenye hii maana hapo juu kuna vitu vitatu. Kwanza, Person, pili, decision (decides on) na tatu, initiatives actions. Unavifafanuaje hivi vitu?
Ukitazama mfano huu: nanukuu " No person chooses parents, place and date of birth" mwisho wa kunukuu.
Hakuna wazazi kama kwanza watu hawajaamua, na kama hawatafanya tendo la kuwa wazazi.
Sasa kati ya anaezaa na anaezaliwa, ni nani mwenye maamuzi? Na, ni nani anaefanya hilo tendo?
Utaelewa kwamba, suala la kuzaa ni uamuzi wa wazazi ndiyo wamechagua tendo hilo.
Hivyo, utashi ni uwezo wa mtu mwenyewe kuamua, na kutoka kwenye huo uamuzi huja matendo. Kwa matendo huja destiny.
Kama hauna shida ya kuelewa, una shida ya ubinafsi.Umekubali mtu haamui anapozaliwa, wanaamua wazazi.
Mtu hana freewill ya kuamua anazaliwa wapi.
Free will is an illusion.
It also contradicts Gods perfect knowledge.
Free will cannot exist in humans if God has perfect knowledge of what they will choose.
You can have Gods perfect knowledge or human freewill.
Kama hauna shida ya kuelewa, una shida ya ubinafsi.
Definition ya "Will" inataja Person 'mtu', kutoka kwake kuna uamuzi na matendo ya maamuzi.
Definition ya Will, inapotaja 'Person', inamaanisha "a human being regarded as an individual".
Nimekubali kwamba, wazazi ndio huamua kwa sababu kwa wakati huo, wazazi ndio wapo. Huyu atakaezaliwa, kabla hajawa person. Hapa ni lazima utazame nyuma kabla ya tendo la kuzaliwa, wazazi hawakuwa na mtoto (mtu) 'person'-hakuwepo,walikuwa wao tu. Wakasema tuwe na mtoto, kutoka kwenye kuwaza 'wazo'. Wakaamua-wakafanya maamuzi. Kwa kuwa maamuzi ni kuwa na mtoto, wakaanza kufanya tendo la kupata mtoto. Ndio kushiriki tendo la ndoa. Hapo mimba ikatungwa, ikakua na, kisha mtoto akazaliwa (anothe person).
Kumbe, utaelewa freewill ni kitu kisicho cha kikundi, bali mtu mwenyewe mmoja katika kuamua na kutenda katika maisha.
Ukitazama katika familia, kwa mfano utaona watoto wa baba na mama mmoja wakiamua na kutenda katika maisha tofaoti kutoka ndugu mmoja hadi mwingine.
Kama ambavyo hajui siku hii au ile anazaliwa, anawezaje kujua siku ya kufa?Aliyezaliwa anajua siku yake ya kufa?
Hata kuelewa muktadha wa swali umeelewa?Kama ambavyo hajui siku hii au ile anazaliwa, anawezaje kujua siku ya kufa?
Uliuliza, na hapa nakunukuu, " aliyezaliwa anajua siku yake ya kufa?". Mwisho wa kunukuu.Hata kuelewa muktadha wa swali umeelewa?
Uliuliza, na hapa nakunukuu, " aliyezaliwa anajua siku yake ya kufa?". Mwisho wa kunukuu.
Utaona hapa, muktadha ni 'siku', na tukio ni 'kifo'. Hivyo aliyezaliwa kwa hakika anajua atakufa: anaweza kujua circumstances za tukio la kufa, lakini hajui specifically siku atakufa.
Hujajibu nililokuuliza na ulilojibu sijakuuliza,Uliuliza, na hapa nakunukuu, " aliyezaliwa anajua siku yake ya kufa?". Mwisho wa kunukuu.
Utaona hapa, muktadha ni 'siku', na tukio ni 'kifo'. Hivyo aliyezaliwa kwa hakika anajua atakufa: anaweza kujua circumstances za tukio la kufa, lakini hajui specifically siku atakufa.
Nimekunukuu, kisha nikakujibu ulivyouliza. Rejea swali lako na mada yenywe.Hujajibu nililokuuliza na ulilojibu sijakuuliza,
1. Aliyezaliwa hajui siku yake ya kufa, hana freewill yoyote juu ya kifo chake.
Freewill maana yake nini?Nimekunukuu, kisha nikakujibu ulivyouliza. Rejea swali lako na mada yenywe.
Unachoelewa wewe ni kwamba, anaekufa: hajui siku yake ya kufa kwa sababu hana freewill. Hapana! Unaelewa kimakosa maana ya freewill.
Mtu kufa au kutojua atakufa siku gani; au kutojua kesho kitu gani kitatokea, hakuna maana ya kwamba, hana freewill. Freewill anayo na mtu ataendelea kuwa nayo.
Kwa freewill ni ujuzi au uwezo wa mtu kujua mema na mabaya. Mtu anaeweza kujua hili ni jema na lile ni baya, huyo anayo will. Hivyo, will ni uwezo wa mtu wa kujua na wakati huo huo, kutenda mema au mabaya, ambapo kifo ni, nje ya uwezo wa mtu.
Kuelewa hilo, mtu ajue na wakati huo huo, atende mabaya au mema, bado anakufa.
Freewill is the ability to choose between different possible courses of action unimpeded.Freewill maana yake nini?
Can you choose to retire in Bermuda and retire there at 65 years old, if you die at 20 years old?Freewill is the ability to choose between different possible courses of action unimpeded.
Ukizibainisha ninaweza kuzifafanua.Kwa nini hujagusa contradiction ya human freewill and God's perfect knowledge? Kama hata umeielewa.