Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Hii kauli yako haivuki hata ncha ya ulimi,wanyama wanatii na wanajua uwepo wa Mola wao aliye waumba.

Sasa kusema "...ange..." au "....wange..." ni ususuavu wa moyo na ni ujinga ulipea. Buffalo hawezi kuwa hiyo kwani umbile na muda vimeshamtangulia,ni sawa sawa na useme ".....laiti kama unerudi utotoni ungefanya kadha wa kadha......" kufikiri kwa namna hii ni kufikiri kivivu na kitoto na kupoteza muda,yaani tunasema ni matumizi manaya ya akili,sababu haiwezekani. Au leo hii useme"....kama mimi ningekuwa mtume,ningefanya kadha wa kadha....",haiwezi kuwa sababu kalamu imeshanyanyuka na wino umekauka.

Tujifunze kufikiri kielimi,kikubwa na sahihi ili tuepukane na kukosea na kupoteza muda katika "hamna",muda rasilimali adhimu sana.

Nipo ...
Hapo nilikuwa nakuonyesha kwamba binadamu kamfikiria Mungu kwa mfano wake yeye mwenyewe binadamu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufikiri kwamba something happened because God did it ..... ndio kauli za kivivu zilizowahi kutokea.

Pia kukaa na kumuimbia Mungu nyimbo za mapambio ni moja ya upotezaji mkubwa wa muda....

Kufikiri kwamba kuna mtu anakuroga au amekutupia mashetani ndio maana haufanikiwi ni moja ya mawazo ya kivivu kabisa kuwahi kutokea.... na haya yote yanatokana na msingi ule ule wa kumuanzisha Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nacheka sana,unaweza kuniambia Mungu alianzishwa na nani na ilikuwa lini ? Hapa hata nikikupa miaka kumi huna uwezo wa kujibu swali hili,ila tambua hilo.

Umegusia nyimbo za mapambiao,mara mashetani. Kwangu mimi nyimbo zenye kufatana na ala za muziki ni haramu,na kama ikitokea kuimba basi ni kazi ya wanawake wakiwa na wanawake wenzao tena katika tukio maalumu,hivi ndivyo Mola wangu anataka.

Mimi siamini kama binadamu anaweza kumtupia binadamu mwenzake mashetani au kufuga mashetani. Hapa naomba unipe ushahidi wa namna inavyowezekana na kuwa. Ukishindwa ninawajibika kukuita wewe ni muongo tena mjinga unae uongea pasi na elimu.

Hili,la mwisho unaweza kuniambia kwanini kunatokea matatizo au kwanini jambo gani unashindwa kufanya ?

Nipo .....
 
Kuna Mkoa unaitwa Zamtanga ? Kaka sikutakani ila nakupa haki yako una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
kwanini useme mkoa huo haupo wakati jamaa yako amedai kua kila chenye jina basi ni lazima kiwepo inamaana unapingana na mwenzako?

Nitajie jina ambalo lipo lakini chenye jina hakipo au hakikuwahi kuwepo ?
Mungu hayupo ila jina la mungu lipo

Kauli aliyoitoa yuko sahihi

Kauli aliyoitoa yuko sahihi atamimi nimetoa mfano unaoendana na kauli yake nashangaa unavyopinga kua siko sahihi.

nashangaa ulivyomuelewa vibaya japokuwa ametumia lugha nyepesi na laini sana kueleweka,sasa ukipewa hoja za kielimu si ndio hutamuelewa kabisa au hutaelewa kabisa,ndio maana huwa unapoteza muda sana katika vitu vyepesi kumbe huwa huelewi.

Mi pia nakushangaa wewe naona kabisa hujaelewa alichokiandika ndugu yako wakati kipo clear kabisa, sijui unatumia goti kufikiri kujua nini alimaanisha?
Nakypa nafasi nyingine kasome alichoandika mwenzako halafu ufananishe na huu utumbo uliouandika hapa kama unaendana na hoja yake

Sent using unknown device
 
Kwanini hana chanzo?

Kivipi amezuka tu akawepo pasipo kua na kisababishi ebu fafanua vizuri?

Sent using unknown device

Vyote vina chanzo vilivyopo havikuwepo kabla,na yeye hana chanzo sababu yeye ndio chanzo.

Ushawahi kujiuliza baada ya "Universal Set" kinafata nini au kuna nini ?

Hivi ni kweli kuna haja ya yule aliyeumba akawa na chanzo ? Hapa kama hunaazoea ya kufikiri mambo kwa uwili unaweza usidiriki haya ninayo kwambia. Jaribu kufikiri hili swali kwa uwili na usifikirie kwa upande mmoja kama mlivyo zoea. Usijibu kwanza swali hili kabla hujafikiria kiundani na kwa kuzingatia.

Nipo .....
 
Nacheka sana,unaweza kuniambia Mungu alianzishwa na nani na ilikuwa lini ? Hapa hata nikikupa miaka kumi huna uwezo wa kujibu swali hili,ila tambua hilo.

Umegusia nyimbo za mapambiao,mara mashetani. Kwangu mimi nyimbo zenye kufatana na ala za muziki ni haramu,na kama ikitokea kuimba basi ni kazi ya wanawake wakiwa na wanawake wenzao tena katika tukio maalumu,hivi ndivyo Mola wangu anataka.

Mimi siamini kama binadamu anaweza kumtupia binadamu mwenzake mashetani au kufuga mashetani. Hapa naomba unipe ushahidi wa namna inavyowezekana na kuwa. Ukishindwa ninawajibika kukuita wewe ni muongo tena mjinga unae uongea pasi na elimu.

Hili,la mwisho unaweza kuniambia kwanini kunatokea matatizo au kwanini jambo gani unashindwa kufanya ?

Nipo .....
Hivi we unaakili za kuvukia barabara eti?

Kivipi kisichopo kikawa na muanzilishi?

Sent using unknown device
 
Nacheka sana,unaweza kuniambia Mungu alianzishwa na nani na ilikuwa lini ? Hapa hata nikikupa miaka kumi huna uwezo wa kujibu swali hili,ila tambua hilo.

Umegusia nyimbo za mapambiao,mara mashetani. Kwangu mimi nyimbo zenye kufatana na ala za muziki ni haramu,na kama ikitokea kuimba basi ni kazi ya wanawake wakiwa na wanawake wenzao tena katika tukio maalumu,hivi ndivyo Mola wangu anataka.

Mimi siamini kama binadamu anaweza kumtupia binadamu mwenzake mashetani au kufuga mashetani. Hapa naomba unipe ushahidi wa namna inavyowezekana na kuwa. Ukishindwa ninawajibika kukuita wewe ni muongo tena mjinga unae uongea pasi na elimu.

Hili,la mwisho unaweza kuniambia kwanini kunatokea matatizo au kwanini jambo gani unashindwa kufanya ?

Nipo .....
Alianzishwa na mtu mmoja wa jinsia ya kiume, kwenye taifa fulani la kusadikika miaka @#$% kabla ya Muhammad.....

Kumbe umeshajua siwezi kukujibu, je inakufanya wewe ujue????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini useme mkoa huo haupo wakati jamaa yako amedai kua kila chenye jina basi ni lazima kiwepo inamaana unapingana na mwenzako?

Mi pia nakushangaa wewe naona kabisa hujaelewa alichokiandika ndugu yako wakati kipo clear kabisa, sijui unatumia goti kufikiri kujua nini alimaanisha?
Nakypa nafasi nyingine kasome alichoandika mwenzako halafu ufananishe na huu utumbo uliouandika hapa kama unaendana na hoja yake

Sent using unknown device

Naona unaendeleza kukita mizizi katika tabia yako ambayo nakukanya kwayo.

Kuna hoja nimekupa ya kwamba unionyeshe au uniambie ni kitu gani ambacho kina jina lakini hakijawahi kuwepo au hakipo ?

Bado nasisitiza ya kuwa mdau yuko sahihi ila wewe ndip hujamuelewa,yawezekana ameandika jambo kubwa kwako ambalo akili yako haina uwezo wa kulifikia.

Je kuna mkoa Tanzania unaitwa Zamtanga ?

Kama hutaelewa hapa,narudi kukupa maana ya tamko "JINA" yawezekana hata maana ya jina pia hujui.

Nipo .....
 
Nacheka sana,unaweza kuniambia Mungu alianzishwa na nani na ilikuwa lini ? Hapa hata nikikupa miaka kumi huna uwezo wa kujibu swali hili,ila tambua hilo.

Umegusia nyimbo za mapambiao,mara mashetani. Kwangu mimi nyimbo zenye kufatana na ala za muziki ni haramu,na kama ikitokea kuimba basi ni kazi ya wanawake wakiwa na wanawake wenzao tena katika tukio maalumu,hivi ndivyo Mola wangu anataka.

Mimi siamini kama binadamu anaweza kumtupia binadamu mwenzake mashetani au kufuga mashetani. Hapa naomba unipe ushahidi wa namna inavyowezekana na kuwa. Ukishindwa ninawajibika kukuita wewe ni muongo tena mjinga unae uongea pasi na elimu.

Hili,la mwisho unaweza kuniambia kwanini kunatokea matatizo au kwanini jambo gani unashindwa kufanya ?

Nipo .....
Hilo la mwisho... sijui kwanin matatizo yanatokea, wewe unadhani kwanin matatizo yanatokea??? Nafikir uwizi pia ni tatizo.... kwanin uwizi unatokea????

Pia sijui kwanin vitu gani siwezi kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la mwisho... sijui kwanin matatizo yanatokea, wewe unadhani kwanin matatizo yanatokea??? Nafikir uwizi pia ni tatizo.... kwanin uwizi unatokea????

Pia sijui kwanin vitu gani siwezi kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii elimu,haihitaji dhana. Sababu ziko nyingi.

Hapa "uwizi" umekusudia "wizi" au ?
 
Naona unaendeleza kukita mizizi katika tabia yako ambayo nakukanya kwayo.

Kuna hoja nimekupa ya kwamba unionyeshe au uniambie ni kitu gani ambacho kina jina lakini hakijawahi kuwepo au hakipo ?

Bado nasisitiza ya kuwa mdau yuko sahihi ila wewe ndip hujamuelewa,yawezekana ameandika jambo kubwa kwako ambalo akili yako haina uwezo wa kulifikia.

Je kuna mkoa Tanzania unaitwa Zamtanga ?

Kama hutaelewa hapa,narudi kukupa maana ya tamko "JINA" yawezekana hata maana ya jina pia hujui.

Nipo .....
Mungu anayetuma nge na nyoka kwenye makaburi ya waliokufa wakiwa ni wenye zambi...

Malaika,
Shetani,
Majini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote vina chanzo vilivyopo havikuwepo kabla,na yeye hana chanzo sababu yeye ndio chanzo.
ukishasema vyote vilivyopo havikuwepo kabla unakua umemjumuisha pamoja na mungu katika hivyo vilivyopo kua nayeye hakuwepo kabla, so kama hakuwepo kitu gani kilimleta mpaka akawepo??

Ushawahi kujiuliza baada ya "Universal Set" kinafata nini au kuna nini ?
Kwanini ulifikiri kua after universal set kuna kitu kilitakiwa kufata?? Kitu gani kilikufanya mpaka ukafikiria jambo hili?
Hivi ni kweli kuna haja ya yule aliyeumba akawa na chanzo ?
Haja ipo tena kubwa sio ndogo, kungekua hakuna haja basi kusingekua na umuhimu wa kujua source ya binadamu kwasababu jibu utakalolipata baada kujua nini kilisababisha binadamu akawepo litakufanya upate swali lingine la nini kilichosababisha mpaka hiki kitu kilichosababisha binadamu kuwepo kikawepo, huwezi ukaishia kusema tu hakuna msababishaji hapo utakua unajiongopea kwasababu kama kilichosababisha wewe ukawepo kikawa si muhimu kua na chanzo basi hata wewe ulitakiwa usihoji kua umesababishwa na nani hadi ukatokea kwasababu si muhimu kujua chanzo cha wewe kuwepo. Hapo utaona kua kuna umuhimu mkubwa wa kujua vyanzo vya vitu ili kubaini ukweli wa mambo.
Hapa kama hunaazoea ya kufikiri mambo kwa uwili unaweza usidiriki haya ninayo kwambia. Jaribu kufikiri hili swali kwa uwili na usifikirie kwa upande mmoja kama mlivyo zoea. Usijibu kwanza swali hili kabla hujafikiria kiundani na kwa kuzingatia.

Nipo .....
Ikiwa kama kweli wewe uko interested na kufikiria je ulijuaje kua mungu hana mletaji aliyesababisha yeye awepo, kivipi yaani mungu akazuka tu bila mletaji?

Sent using unknown device
 
ukishasema vyote vilivyopo havikuwepo kabla unakua umemjumuisha pamoja na mungu katika hivyo vilivyopo kua nayeye hakuwepo kabla, so kama hakuwepo kitu gani kilimleta mpaka akawepo??

Soma hoja yangu mpaka mwisho,mwisho nimemaizi kwa kumtoa Mola nikasema yeye ndio chanzo.
 
Kwanini ulifikiri kua after universal set kuna kitu kilitakiwa kufata?? Kitu gani kilikufanya mpaka ukafikiria jambo hili?

Hapa nimekuuliza wewe,sababu nimeona mfano huu kwako wewe ndio utakuwa mwepesi sana kuuelewa.
 
Haja ipo tena kubwa sio ndogo, kungekua hakuna haja basi kusingekua na umuhimu wa kujua source ya binadamu kwasababu jibu utakalolipata baada kujua nini kilisababisha binadamu akawepo litakufanya upate swali lingine la nini kilichosababisha mpaka hiki kitu kilichosababisha binadamu kuwepo kikawepo, huwezi ukaishia kusema tu hakuna msababishaji hapo utakua unajiongopea kwasababu kama kilichosababisha wewe ukawepo kikawa si muhimu kua na chanzo basi hata wewe ulitakiwa usihoji kua umesababishwa na nani hadi ukatokea kwasababu si muhimu kujua chanzo cha wewe kuwepo. Hapo utaona kua kuna umuhimu mkubwa wa kujua vyanzo vya vitu ili kubaini ukweli wa mambo.

Umeiparamia vibaya hoja,nimekusudia baada ya kuwepo chanzo aliyeumba je kuna haja ya yeye kuwa na chanzo ?

Hapa ulitakiwa uonyeshe haja ya yule ambaye ni chanzo kuwa na chanzo ? Je kuna weza kuwa na chanzo asili kuwa na chanzo ? Hapa unatakiwa kutuliza akili.

Nakuja kukupa maana ya chanzo / Asili.

Nipo .....
 
Naona unaendeleza kukita mizizi katika tabia yako ambayo nakukanya kwayo.

Kuna hoja nimekupa ya kwamba unionyeshe au uniambie ni kitu gani ambacho kina jina lakini hakijawahi kuwepo au hakipo ?

Nishakujibu na hapa narudia tena. Kitu ambacho kina jina lakini hakijawahi kuwepo au hakipo kabisa ni Mungu

Bado nasisitiza ya kuwa mdau yuko sahihi ila wewe ndip hujamuelewa,yawezekana ameandika jambo kubwa kwako ambalo akili yako haina uwezo wa kulifikia.
Namimi nakusisitizia kua kuna mkoa hapa tanzania unsitwa zamtanga, niko sahihi kulingana na hoja aliyoitoa ndugu yako pengine hujamuelewa kwasababu ya kukurupuka kusoma pasipo kuelewa
Je kuna mkoa Tanzania unaitwa Zamtanga ?
Ndio mkoa huo upo, kama unabisha haupo kivipi kisichokuwepo kikawa na jina??

Kama hutaelewa hapa,narudi kukupa maana ya tamko "JINA" yawezekana hata maana ya jina pia hujui.

Nipo .....
Maana ya tamko JINA??neno Jina linatamkwa hivyo hivyo kama linavyosomeka usilete pumba zako hapa

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom