Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Sasa hauoni kwamba umeangalia ulimwengu ukaotea kwamba Mungu yupo.... na mnaenda mbali zaidi na kusema Mungu huyo ataenda kuchoma watu waliotenda maovu... kwann msiishie kusema Mungu yupo alafu basi.... mnayatoa wapi hayo mengine yote yanayomuhusu huyo mnaedai ameumba ulimwengu na kila kitu pamoja na yeye mwenyewe....?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wao wanaamini mungu yupo kwasababu wamekosa majibu ya baadhi ya mambo. Mtu anakwambia mimi naamini mungu yupo kwasababu silipii pumzi, yaani fikra zake zipo kimaslahi kama mangi. Sasa hata kama mungu wa namna hiyo angekuwepo basi asingekuwa muweza maana angekua anafanya biashara ya pumzi ili kujiingizia kipato kitacho msaidia kujilisha yeye na familia yake

Mwingine anakwambia naamini mungu yupo kwasababu anga halina nguzo ule ubluu mtu fikra zake zinamtuma kua zinahitaji sapota, yaani mtu kaisha sema anga ambapo ukishasema anga sio kitu kinachoshikika. Sasa mtu huyo hivi hata akili ndogo yakufikiria kua nguzo zinazoshikika huwezi ukazifunga kwenye anga lisiloshikika hana

Sent using unknown device
 
Una akili au huna akili? Jibu NDIO au HAPANA...

Jr[emoji769]
Samahani mkuu,
Katika mambo ya Tafiti au mijadala lazima kunakuwa na definitions of terms au maana kwa muktadha wa mjadala

Ukimuuliza mtu umeenda mwezini? Lazima Kama mwanaume atajiuliza mwezi kwa maana ipi?

Kwa mwanamke pia atajiuliza hivyo?

Akili kwa maana ya kiingereza ni neno pana sana, kuna haya maneno

Clever

Bright

Intelligent

Na mengine mengi yana maana tofauti, sasa kumuita mtu bright au clever inategemea muktadha upi?

Hata hapa Jf kuna mada au nyuzi huwa lazima ueleze neno lako Lina muktadha upi?

Mfano, Akili kwa muktadha wa wanasayansi ni uvumbuzi

Kwa muktadha wa ccm ni kuunga juhudi za mwenyekiti

Kwa muktadha wa dini ni kutafsiri vitabu husika
 
Pua unaweza kutumiaje kwenye ku test kitu ambacho hakipo?

Kiujumla viungo vyote hivyo vilivyotajwa unaweza kuvitumia kwa namna gani kwenye vitu visivyopo halafu ukajua kua kipo?

Sent using unknown device
Aisee! Kwahiyo mtu akisema ndani kwake hakuna harufu ya bangi,hauwezi kutumia pua kutest ili kujua kama kweli hakuna hiyo harufu?
 
Hapana sijasema kuamini na kujua ni maneno yenye maana sawa bali nimesema naamini Mungu yupo na hivyo ndio navyojua.
Kwanin sasa unatumia neno kuamini na sio neno kujua... je hauoni neno kuamini tayari lina mashaka?...

Je, haujui kwamba imani ni concept inayotumika pale tu jambo linapokuwa halijulikani.. na likishajulikana neno imani halitumiki tena kwenye hilo jambo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri ndio jibu gani?
Nyie ndiye mlioonja utamu wake sasa tuambieni ladha yake ipoje?

Ebu jibia hayo maswali kwanza

Sent using unknown device
Nimekuuliza swali la msingi kabisa katika kuelewa ufanyaji kazi wa hivyo viungo,unafikiri nikikwambia unioneshe hasira ilivyo utaweza kunionesha au utaweza kuniambia radha yake ikoje? Lakini hakuna ubishi kuwa hasira ipo.
 
Kwanin sasa unatumia neno kuamini na sio neno kujua... je hauoni neno kuamini tayari lina mashaka?...

Je, haujui kwamba imani ni concept inayotumika pale tu jambo linapokuwa halijulikani.. na likishajulikana neno imani halitumiki tena kwenye hilo jambo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kujua ni nini? Hebu elezea.
 
Chai Ili uionje lazima iwepo

Sasa kama haipo utaionja vipi na utawezaje kujua ladha yake wakati haipo?

Kama mungu anaonjwa inatakiwa awepo ili tumle au tumnywe ndio tutaweza kujua ladha yake, sasa hayupo wewe tutawezaje kujua ladha yake wakati hayupo? unaanza kuhoji kua umevitumiaje viungo vyako mpaka umejua kutokuwepo kwake hivi utatumiaje viungo ambavyo vipo kutest vitu visivyokuwepo??

Ebu niambie kitu gani kisichokuwepo ambacho tunaweza kutumia viungo vyetu kujua hakipo??

Sent using unknown device
Nimezungumzia kuonja chai ili kuweza kujua kama kuna sukari ni sawa kwamba tunabishana kama hiyo chai ina sukari au haina,sijui kama unaona tofauti na ulichokieleza?
 
Samahani mkuu,
Katika mambo ya Tafiti au mijadala lazima kunakuwa na definitions of terms au maana kwa muktadha wa mjadala

Ukimuuliza mtu umeenda mwezini? Lazima Kama mwanaume atajiuliza mwezi kwa maana ipi?

Kwa mwanamke pia atajiuliza hivyo?

Akili kwa maana ya kiingereza ni neno pana sana, kuna haya maneno

Clever

Bright

Intelligent

Na mengine mengi yana maana tofauti, sasa kumuita mtu bright au clever inategemea muktadha upi?

Hata hapa Jf kuna mada au nyuzi huwa lazima ueleze neno lako Lina muktadha upi?

Mfano, Akili kwa muktadha wa wanasayansi ni uvumbuzi

Kwa muktadha wa ccm ni kuunga juhudi za mwenyekiti

Kwa muktadha wa dini ni kutafsiri vitabu husika
Asante lakini automatically nadhani swali langu limejikita kwenye mada na jukwaa husika hivyo kuuliza akili kwa muktadha upi nadhani sio sahihi
BTW kwa mara ya kwanza ndio naona mtu anauliza swali lakini linakosa majibu na kutakiwa muulizaji afafanue kwanza... Kama ukiwa hujuia utasema sijui au utajibu kwa muktadha wako halafu ndio tuone UKO sahihi ama la
Swali rahisi kama hili kwanini limekuwa mtihani mzito kiasi hiki? Dhana tunayojivunia JF ya great thinkers iko wapi hapa? GUSSIE nawe unashindwa mpaka upate ufafanuzi? Nikishafafanua kuna haja ya kuuliza swali tena?

Jr[emoji769]
 
Sasa hauoni kwamba umeangalia ulimwengu ukaotea kwamba Mungu yupo.... na mnaenda mbali zaidi na kusema Mungu huyo ataenda kuchoma watu waliotenda maovu... kwann msiishie kusema Mungu yupo alafu basi.... mnayatoa wapi hayo mengine yote yanayomuhusu huyo mnaedai ameumba ulimwengu na kila kitu pamoja na yeye mwenyewe....?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuotea ina maana gani?
 
Nimezungumzia kuonja chai ili kuweza kujua kama kuna sukari ni sawa kwamba tunabishana kama hiyo chai ina sukari au haina,sijui kama unaona tofauti na ulichokieleza?
Nimeuelewa vizuri sana mfano wako na ndio maana nimekuuliza kwamba ikiwa chai haitakuwepo je kupitia viungo vyako utawezaje kubaini kua sukari imekolea au haijakolea kwenye chai ambayo haipo?

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom