Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

hv mshana una elimu ya kidato cha ngapi....mambo marahisi sana unashindwa kuwa straight unajikorogo koroga....jifunze kuwa mtu makini, huta gain credibility unayoitafuta jf ukishindwa kuwa straight kwenye hoja zako....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi kuna uhusiano gani kati kujenga hoja,kuelewa na kung'amua mambo na kidato ? Au hapa huwa mnaongea kimazoea ? Hao wa asisi wa elimu ya mantiki (logic) ukisema wafufuke leo hii watakuelewa ukawaambia "Uhusiano kati ya uelewa au ujengaji hoja na kidato" watakuelewa,hasa Aristoto ?

Isiwe unasema hayo kisa wengine wanasema,hilo ni tatizo lingine ujue ?

Nipo ....
 
Aliyetuweka sisi hajatanguliwa na wakati,sababu yeye ndiye aliyeumba muda.

Yeye ni wa mwanzo asie na chanzo kabla yake na yeye ni wa mwisho asie na wa mwisho baada yake,anajua kilochopita,kilichopo,kinachokuja na kile ambacho hakipo anajua laiti kingekuwepo kingekuwaje.

Kwa maana swali lako umeuliza ni swali la uongo.

Nipo ....
Beautiful one

Jr[emoji769]
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Naona elimu ya kutoa mifano imekupiga chenga ya mwili. Jitahidi kujiepusha na mambo yasiyowezekana,kutambua hili kunataka Elimu pia.

Huwezi kutoa mfano huo wakati hali halisi na majina ya mikoa ya Tanzania yanajulikana.

Nipo....
Kujulikana = kujua ...... thank u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyetuweka sisi hajatanguliwa na wakati,sababu yeye ndiye aliyeumba muda.

Yeye ni wa mwanzo asie na chanzo kabla yake na yeye ni wa mwisho asie na wa mwisho baada yake,anajua kilochopita,kilichopo,kinachokuja na kile ambacho hakipo anajua laiti kingekuwepo kingekuwaje.

Kwa maana swali lako umeuliza ni swali la uongo.

Nipo ....
Yeye.

Anajua

Unajua hata nyati angelikuwa anatafakari kama sisi basi angewaza Mungu is very very big buffalo..

Yaani amezuka tu bila source yoyote?Kwanini hana chanzo?

Sent using unknown device
 
Naona elimu ya kutoa mifano imekupiga chenga ya mwili. Jitahidi kujiepusha na mambo yasiyowezekana,kutambua hili kunataka Elimu pia.

Huwezi kutoa mfano huo wakati hali halisi na majina ya mikoa ya Tanzania yanajulikana.

Nipo....
Kwani mfano wangu hauna jina?

Utasemaje mkoa wa zamtanga haupo tanzania wakati amedai kua kila kitu chenye jina lazima kiwepo?

Sent using unknown device
 
Hawa watu pasua kichwa sana yani mtu anatumia hisia zilizo kichwani mwake kujenga hoja

Sent using unknown device
Kitendo cha kumdescribe Mungu as He... kinaonyesha kabisa aliyeleta wazo hilo ni mwanaume na hiyo inathibitisha kwamba hamjui.... mitume wote walikuwa wanaume, yesu pia wanamdescribe kwa umbile la mwanaume..... inaashiria kabisa mwanaume kaplay part kubwa sana kuwaza haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hata nyati angelikuwa anatafakari kama sisi basi angewaza Mungu is very very big buffalo..

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii kauli yako haivuki hata ncha ya ulimi,wanyama wanatii na wanajua uwepo wa Mola wao aliye waumba.

Sasa kusema "...ange..." au "....wange..." ni ususuavu wa moyo na ni ujinga ulipea. Buffalo hawezi kuwa hiyo kwani umbile na muda vimeshamtangulia,ni sawa sawa na useme ".....laiti kama unerudi utotoni ungefanya kadha wa kadha......" kufikiri kwa namna hii ni kufikiri kivivu na kitoto na kupoteza muda,yaani tunasema ni matumizi manaya ya akili,sababu haiwezekani. Au leo hii useme"....kama mimi ningekuwa mtume,ningefanya kadha wa kadha....",haiwezi kuwa sababu kalamu imeshanyanyuka na wino umekauka.

Tujifunze kufikiri kielimi,kikubwa na sahihi ili tuepukane na kukosea na kupoteza muda katika "hamna",muda rasilimali adhimu sana.

Nipo ...
 
"Wanyama wanatii na wanajua uwepo wa Mola wao aliye waumba" ....... hapa umetumia elimu ya wapi.... madrasa?????
Wanamtii Mungu in what perspective?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mfano wangu hauna jina?

Utasemaje mkoa wa zamtanga haupo tanzania wakati amedai kua kila kitu chenye jina lazima kiwepo?

Sent using unknown device

Kuna Mkoa unaitwa Zamtanga ? Kaka sikutakani ila nakupa haki yako una uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Nitajie jina ambalo lipo lakini chenye jina hakipo au hakikuwahi kuwepo ?

Kauli aliyoitoa yuko sahihi,nashangaa ulivyomuelewa vibaya japokuwa ametumia lugha nyepesi na laini sana kueleweka,sasa ukipewa hoja za kielimu si ndio hutamuelewa kabisa au hutaelewa kabisa,ndio maana huwa unapoteza muda sana katika vitu vyepesi kumbe huwa huelewi.
 
Kitendo cha kumdescribe Mungu as He... kinaonyesha kabisa aliyeleta wazo hilo ni mwanaume na hiyo inathibitisha kwamba hamjui.... mitume wote walikuwa wanaume, yesu pia wanamdescribe kwa umbile la mwanaume..... inaashiria kabisa mwanaume kaplay part kubwa sana kuwaza haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kituko kikubwa ni pale wanapojikanganya wenyewe kwenye kuelezea uongo wao

Mtu anasema Mungu ni roho haonekani, halafu tena wanamuelezea kua anajinsia ya kiume

Sasa tuwaeleweje kivipi kisichoonekana kikawa na jinsia umewezaje kujua hilo wakati hakionekani?

Ebu watuambie upepo unajinsia gani maana ni mabingwa sana wakujua jinsia ya vitu visivyoonekana

Sent using unknown device
 
Hii kauli yako haivuki hata ncha ya ulimi,wanyama wanatii na wanajua uwepo wa Mola wao aliye waumba.

Sasa kusema "...ange..." au "....wange..." ni ususuavu wa moyo na ni ujinga ulipea. Buffalo hawezi kuwa hiyo kwani umbile na muda vimeshamtangulia,ni sawa sawa na useme ".....laiti kama unerudi utotoni ungefanya kadha wa kadha......" kufikiri kwa namna hii ni kufikiri kivivu na kitoto na kupoteza muda,yaani tunasema ni matumizi manaya ya akili,sababu haiwezekani. Au leo hii useme"....kama mimi ningekuwa mtume,ningefanya kadha wa kadha....",haiwezi kuwa sababu kalamu imeshanyanyuka na wino umekauka.

Tujifunze kufikiri kielimi,kikubwa na sahihi ili tuepukane na kukosea na kupoteza muda katika "hamna",muda rasilimali adhimu sana.

Nipo ...
Kufikiri kwamba something happened because God did it ..... ndio kauli za kivivu zilizowahi kutokea.

Pia kukaa na kumuimbia Mungu nyimbo za mapambio ni moja ya upotezaji mkubwa wa muda....

Kufikiri kwamba kuna mtu anakuroga au amekutupia mashetani ndio maana haufanikiwi ni moja ya mawazo ya kivivu kabisa kuwahi kutokea.... na haya yote yanatokana na msingi ule ule wa kumuanzisha Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom