Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Niliwauliza wenzako je ni Mungu yupi huyo ambae yupo?

Je aliyewaamuru wakristo waoe mke mmoja tu au aliyewaamuru waislamu waoe wake 2, 3, 4.... wakiwa hawana uadilifu waoe mke mmoja.

Sina tatizo kama utasema nguvu iliyounda vyote vilivyomo ni Mungu.. ila tatizo kwangu linakuja pale mnapojifanya mnamjua kwa kuelezea attributes zake.... sasa najiuliza kwanin hamuhishii hapo tu mnaenda mbali zaidi... mmejuaje??? Mnasema mnatumia imani ... lakini believing isn't knowing.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye imani huko sasa mimi sipo na wananichanganya PIA ila aliesema Tuoe wake wawili au alosema Tuoe mke mmoja Sina uhakika kama Ni MUNGU kwakweli..Aliyesema wengine onjeni pombe kidogo wengine msinywe kabisa Hapana bado sina uhakika kama kasema MUNGU hizo sheria.

Ninachoamini MUNGU yupo nafata imani niliyozaliwa nikaikuta na chochote ninachoona MIMI kinafaaa NAFANYA bila kujali imani yangu inaruhusu au hairuhusu ilimradi tu Nikiona ni SAW nafanya N staki wakuniuliza..ila MUNGU yupo.

Alieyeweka haya masheria mengine huyo ndo simjui na staki hata kumjua na wala mtu asinambie ni MUNGU maana simuelewi
 
kwenye imani huko sasa mimi sipo na wananichanganya PIA ila aliesema Tuoe wake wawili au alosema Tuoe mke mmoja Sina uhakika kama Ni MUNGU kwakweli..Aliyesema wengine onjeni pombe kidogo wengine msinywe kabisa Hapana bado sina uhakika kama kasema MUNGU hizo sheria.

Ninachoamini MUNGU yupo nafata imani niliyozaliwa nikaikuta na chochote ninachoona MIMI kinafaaa NAFANYA bila kujali imani yangu inaruhusu au hairuhusu ilimradi tu Nikiona ni SAW nafanya N staki wakuniuliza..ila MUNGU yupo.

Alieyeweka haya masheria mengine huyo ndo simjui na staki hata kumjua na wala mtu asinambie ni MUNGU maana simuelewi
Embu tuelezee unatumia kigezo gani kuamua hivyo??
Unajuaje au unaonaje ni sawa.... manake unatuambia unafuata imani uliyozaliwa nayo.. lakini kuna mambo hauyafuati (hauoni unajikanyaga).
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawa watu wanatoa majibu kulingana na hisia zao juu ya hii nadharia ya Mungu, na ndio maana kila mtu anasema kivyake mwingine anasema mungu haonekani huyu jamaa anasema anaonekana na anaonjeka

Hapo inaonedha dhahiri kua kwenye swala la mungu juu ya uwepo wake limebase sana kwenye personal experience isiyokua na chembe ya ukweli na ndio maana wao kwa wao wanatofautiana kumuelezea huyo mungu

Sent using unknown device
Wanafeli vibaya sana... wanachanganya hallucination na uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye maelezo yako umeandika Unachoona wewe kinafaa ....unafanya which means imani yako unakuwa unaiweka pembeni... sasa swali unatumia kigezo gani???

Sent using Jamii Forums mobile app
Imani yangu naifata kwa aslimia zote ila kuna baadhi ya mambo ndio sifati ambayo hata kiongozi ktk imani yangu nae hana majibu sahihi kuhusu hilo.
 
Kwahiyo kwa tafsiri yako Mungu ni substance na ni visible object? Sasa nimeona tatizo lilipo

Jr[emoji769]
Kwa maelezo ya jamaa hapo juu ni dhahiri kua mungu ni visible ndio maana amedai kua kupitia milango mitano ya fahamu unaweza ukathibitisha kua yupo

Sent using unknown device
 
Nafikiriaga zangu peke angu, najijibu peke angu Mwisho nakubali MUNGU YUPO haiwezekan tu Binadamu tupo tuu akosekane alotuweka..Ukiona alama ya mguu wa mtu mahali Huwezi bisha eti hamna mtu hayo maeneo YUPO ila tu hujajua yuko kona gani maana alikutangulia kufika.

Mungu YUPO tena KWAHERUFI KUBWA sasa mi sjui ndo nani kat ya hao Kiranga na atheist

Sasa ulivyofikiria kua kutakua na Kiumbe aliyetuweka, je hukuwahi kufikiria huyo kiumbe nani aliyemuweka?

Sent using unknown device
 
Nimetumia hiyo hiyo milango...
- hana harufu (all)
- haonjeki (all)
- haonekaniki (all)
- haisiki (all)
- hasikiki (all)

Base on those criterias.... (haelezeki), you won't make sense therefore hauwezi kusema yupo na inabaki kuwa things you don't know u just ignore.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umevitumiaje hivyo viungo?
 
Nakubali hapo sikatai
Kwahiyo uone kwamba tatizo sio Mungu kuwepo au kutokuwepo...

Ni lini huyo imaginary God alisema atawachoma wote watakaokufa wakiwa wenye dhambi au atawaweka peponi kwa wale watakaokuwa wema???...

Lets assume ni kweli alisema hivyo, je, nikitaka kufahamu kwamba alisema hivyo, nitaweza kujua????.... kama siwezi kujua kwanin mmejua/mmeamini.... na kwanin mimi niwe ni sehemu ya hao walioambiwa kama siwezi kujua?

Kwanin imani inajengwa kwa mafundisho na isiwe ni automatic?.... Je, hauoni kwamba hii ndio loophole inayoleta kutofautiana????

Je, hauoni haya mambo yanaviolate misingi ya ufahamu na hivyo hayawezi kuwa ndio kigezo cha truth value....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hata waumini wenzako nadhani umewaacha hoi
1.Kupitia pua Mungu anaharufu gani?
2.kupitia masikio Mungu anasauti gani ambayo ni uthibitisho kua hii ni sauti yake na si vinginevyo?
3.Kupitia ulimi Mungu analadha gani au nawewe ulionja utamu wake ebu tuelezee ladha yake
4.kupitia ngozi ulihisi nini mpaka ukaweza kuthibitisha kua Mungu yupo?
5.Kupitia macho uliwahi kumuona wapi? Yukoje na wapi makazi yake ili namimi nikamuone?

Sent using unknown device
Vizuri.

Kabla ya kukujibu naomba kwanza nikuulize,mfano kwa mtu mwenye hasira huwa tunatumia kiungo gani kuweza kujua uwepo wa hasira kwa mtu?
 
Back
Top Bottom